Wana JF nakumbuka November 2010 niliwaletea taarifa za matokeo ya ubunge jimbo la Singida mashariki, ambapo Tundu Lissu alikuwa akiongoza.
Wachangiaji walionyesha matarajio makubwa ya mchango...
Mojawapo ya sababu ambazo zilitolewa kuhalalisha posho za wabunge ni kuwa wanahiatji kutoa misaada kwenye majimbo yao. Na miaka nenda rudi tumeona wabunge na wale wanaotaka kugombea ubunge wakitoa...
Kuna tetesi kuwa leo Mabalozi na Wanachama wa CCM, Arumeru Mashariki watampitisha mgombea atakaye wania nafasi ya ubunge kwa tiketi ya chama hicho. Mchakato huo utafanyika kwa kupiga kura zitakazo...
Kwa mujibu wa blog ya mpiga picha na rafiki wa JK (MICHUZI), serikali imegawa jumla ya ng'ombe 25,000 na mbuzi 15,000 kwa wafugaji waliopoteza mifugo yao katika wilaya za Longido, Ngorongoro, na...
Karibia watu wote niliowahoji wanadai Jk hajafanya lolote la maana kama kiongozi wa nchi.
Mimi naona si kweli.Jk amefanikiwa sana kukuza Demokrasia kuliko watangulizi wake japo ameshindwa kukuza...
Wakuu mie kama mzalendo wa Tanzania ningependa kutoa ushauri kwa hivi vyama viwili kama ifuatavyo.
Kama tulivyoona uchaguzi uliopit Igunga gharama kubwa sana ilitumika kwa vyama vyote kurusha...
Kuna habari kuwa kwa mara nyingine Gasi asili imegunduliwa huko Karibu na maafia
je Tanzania tumejifunza nini hasa baada ya mikataba mibovu ya madini hasa Dhahabu, Umeme , je tuko tayari au...
Masheikh na viongozi wa kiislamu wametahadharishwa kuepuka wasitumiwe na wanasiasa hasa wenye tuhuma za ufisadi, ili kutimiza azma yao ya kutaka kuingia madarakani.
Badala yake wameshauriwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani chato mkoani kagera kimemburuza kortini mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya chato Hamida Kwikwega kwa madai ya kubatilisha ushindi wa...
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameunga mkono uamuzi uliofikiwa na Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuunda Baraza la Ushauri.
Baraza hilo litawajumuisha...
Waziri wa afya wa zanzinzibar mh juma duni haji leo hi saa kumi jioni ana unguruma viwanja vya mwembe yanga. Akiongoza wanachama wa cuf na wananchi wa temeke ambao kwakawaida ni wa fuasi nguli wa...
"....Mimba ni matokeo ya tendo la furaha baina ya mume ana mke, sasa mwenzako anapata fistula unampa talaka, kwani mimba aliipata peke yake? hilo ni jambo la ovyo sana, wewe ndio ulihusika halafu...
Maalim Seif Shariff Hamad, nduguyo Jussa katika utetesi wake kuhusu CUF kufanya vibaya huko Usini, alisema kuwa ni kwa sababu jimbo hilo lina Wakristo wengi. Sasa kwa kuwa wewe ndio CUF na CUF...
Mashirika kama NSSF, NPF na mengine kama hayo yanakusanya pesa wafanyakazi. Lakini kwa mshangao na masikitiko sioni mashirika haya kama yanasaidia wananachi zaidi ya kujinufaisha yenyewe ...
Ndiyo wakuu! Ile kauli ya mjinga akijitambua mwelevu upo matatani imejidhirisha leo baada ccm kubwagwa chini na cdm katika uchaguzi wa mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Busulwangili,kata...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KURUGENZI ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inapenda kutoa taarifa kuhusu habari zilizoripotiwa kupitia njia mbalimbali...
Natanguliza shukurani zangu kuchangia hoja ya katiba mpya hususani kuhusiana na chama cha siasa cha CHADEMA.
Nimeamua kwa makusudi kabisa kuanzisha hoja hii ili hisitoria ije ihukumu.Kimsingi hoja...
Hivi sasa Mh.MNYIKA ANAHUTUBIA,ANADHIHIRISHA NAMNA gharama ya maisha inavyowasumbua wananchi kutokana na kukwama kwa kasi mpya,ari mpya na nguvu mpya pamoja na maisha bora na hatimaye bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.