Mh! Huyu Mbunge ....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh! Huyu Mbunge ....!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwikumwiku, Feb 17, 2012.

 1. m

  mwikumwiku Senior Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naangalia this week perspective tbc! Kuna mbunge wa nccr hapa anaunga kingereza mbaya! Ama kweli...,,
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ngoja tumcheki
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni Mkosamali, alipata Ubunge akiwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho - Sheria
   
 4. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  si lazima kila mtanzania aelewe kiingereza huu ni utumwa hicho siyo kitanzania hata akiunga sawa
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Manufacturing of teachers
   
 6. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Standard english has nothing to do with pronunciation......
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wewe hujui kiingereza ni wito?
  Lugha imekuja kwa meli hiyo...
  Halafu lugha zetu kihangaza, kimanyema ?, kisukuma
  kisha kifuate kiswahili ambacho bado kinasumbua mpaka leo
  itakua kiingereza?????
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, yeah we need to manufacture schools first and zen we manufacture teachers and finally we will manufacture good results

  if god allowz zen we can manufacture doktaz fasta, anyone who want to business in tanzania come, come come-come and talk to me right now or even now!!!
   
 9. V

  Visionmark Senior Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hv hukuwahi kuambiwa au kusikia kuwa kuongea kiingereza kwa waTZ walio wengi ni janga la kitaifa!? Nilikuwa naangalia hicho kipindi hiyo jana, kwa kweli kilikuwa kinatia kichefuchefu!
   
 10. M

  MussaBubu Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo ni majungu,Dogo yupo kamili sana,nimemkubali
   
 11. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Lugha ya malkia hiyo
   
 12. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Kuna watu bado wanaamini kuwa mtu anayeweza kuongea kiingereza sahihi basi huyo anajua kila kitu.
   
 13. SHIGELLA

  SHIGELLA Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  MMMMHHHHHHHHHH hivi kusoma ndo kujua kiingereza? na kama mtu akisoma tuition ya lugha ya kiingereza na hajawahi kufika hata kidato cha kwanza ila kiingerza anakimudu vizuri naye anaitwa msomi?
   
 14. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  toa ushauri kipindi hicho kiendeshwe kiswahili.
   
 15. S

  STIDE JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu hata hapa Jf!! Chunguza kwa umakini utagundua ninachokiongea!!
  Walio wengi bado wanaamini hivo, alafu GT anadhani asipochangia ama kutoa maoni kwa kuchanganya kiswa-nglish hajiamini kama atakubalika!!
  Tabia hii inakera ukizingati sisi wa "manufacturing teachers"(shule za kata) nasi pia tumo JF!! "HAMTUTENDEI HAKI."
  Iko siku mtu atatoa kiswa-nglish chake na mwingine ashuke Kirusi tuone!!
  "Tuache utumwa wa akili na fikra mgando, tujifunze kwanza lugha yetu kwa ufasaha!!"

  AMANI.
   
 16. R

  RUTARE Senior Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ni sahihi kabisa great thinkers niliwategemea wajadili hoja za kipindi hicho cha ajabu wanajadili kingereza kwani kila anayeongea kiingereza ana fikra sahihi?
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hila kwa kifupi nampongeza sana Mkosamali ingawa sijakisikiliza kipindi lkn kitendo cha kudhubutu(kuwa na gut) kushiriki ktk kipindi kimeonyesha kujiamini kwake,kingereza jamni ni soo tusimbeze mkosamali.
   
Loading...