Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TCU ni chombo ambacho hutumiwa kuakiki elimu za watu waliosoma nje na ndani ya nje. sasa na jiuliza kuna haja gani ya kuwa bureaucratic nyingine ndani ya serikali kwa ajili ya kutafuna kodi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi napendekeza CHADEMA imsimamishe Dr.SLAA kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huko Arumeru. Hii itaipa chadema kwanza nafasi kubwa ya kukinyakua kiti hicho kwa kuwa Slaa kwa sasa ni heavy...
2 Reactions
483 Replies
35K Views
Kwataarifa kutoka watu muhimu waliokwenyemchakato wa Hamad Rashid wa Kuanzisha chama chake cha Allience for Demokratic Party(ADP)zinataja safu ya Uongozi wa chama hicho kuwa kama ifutavyo;-...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Jana jion majira ya saa 11, mmoja wa wana CCM aliyechukua fom za kugombea ubunge,mtoto wa marehem sumar kwa jina la sioi alifika nyumban kwa pasta anayeitwa emanuel maturo kijijin maji ya chai...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni wakati sasa Tanzania kufikiria na kuanzisha chombo kitacho ratibu na kusimamia shughuri za mipango ya maendeleo ktk halmashauri na taasisi mbalimbali. kwa kuzingati uwepo wa chuo cha mipango...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Nassari ni kijana mpambanaji, asiyekata tamaa na hata ccm arumeru wanamhanya, na hakika atakuwa mshindani wa kweli, ni miongoni mwa vijana wachache tishio waliopikwa na CDM, na kwa asili ya watu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, nimeona niweke hii link ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuwasaidia watanzania wengi ambayo ni wapiga kura, wajitokeze kwa wingi safari hii kupiga kura. Unaweza ukaona hali...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ni tajiri sana duniani, ukitaja nchi 10 bora zilizo jaliwa rasilimali nyingi huwezi kuiacha tanzania baadhi ya raslimali tulizo nazo ni kama vile: 1.maziwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
16 FEBRUARY 2012 Na Bryceson Mathias, Morogoro BAADHI ya watu wameanza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Mtibwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mmoja wa wagombea kwa jina elileema anaetarajia kuchukua form jumatatu kwa tiketi ya ccm ameanza kampen kwenye msiba uliotoke leo ktk kijiji cha mbuguni..naona wafuasi wa chadema wameamua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi. 1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Wajameni kuna hili jambo ambalo limetokea kwa hawa jamaa wanaojiita CCM kuwaengua wazee waastaafu kutoka katika NEC yao, na kuwaundia baraza lisilo na meno, yaani baraza la washauri. Mi nionavyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
polis mnashindwa kufanya kazi zenu kuwashika wizi wa mali zetu na ushahidi mnao mafisadi wamechota hela nyingi sana kila sehemu mnataka kushika rai wema
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, John Cheyo (Kushoto) akizungumza na wajumbe kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii walipokuwa wakiwasilisha taarifa za Wizara hiyo katika Osifi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu poleni na kazi kwanza. Leo kuna kitu kimenisumbua kichwa yangu sana baada ya kuona hii kuhusu project ya Kilimo kwanza, cha kushangaza ktk ile pdf yao yenye orodha ya majina ya watakaokuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Katika kile kinachoonekana sasa serikali imefilisika, imewakata nusu ya pensheni ya wastaafu ya mwezi February. Kwa mfano wastaafu wengi hupokea sh 300,000 kila baada ya miezi sita. Sasa...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Balozi ziko hoi kifedha. Ni taarifa iliyowekwa wazi na vyombo vya habari leo. Hii taarifa imekaaje? Tusaidiane kutafuta ufumbuzi, matusi tuweke pembeni. Tujenge hoja namna ya kujinasua na hali...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
MBIO za Uchaguzi Mdogo wa Arumeru Mashariki, zimeendelea kushika kasi baada ya makada zaidi wa CCM akiwamo Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Arusha, Elishilia Kaaya, kuchukua fomu kuomba...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Mawaziri wawili nchini Uganda walipata adhabu ya kuachia uwaziri kwa kugundulika kupoteza zaidi ya dola 60,000,000. Mungu akupe nini katika nchi ya wapumbavu kama hii? Kwa habari zaidi, BONYEZA HAPA.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF kila siku tuanaskia madudu,ubadhilifua,Uzembe,Rushwa na Ufujaji wa Mali za Uma na kupotea uadilifu kwa Viongozi ambao unai buliwa na KAMATI za Kudumu Za Bunge, Sasa ni Kipi kinachokataza...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Back
Top Bottom