Jimbo la Tarime kurudi CHADEMA 2015

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Jimbo la Tarime ambalo CCM ilishinda kwenye uchaguzi wa 2010 kuna kila dalili kuwa CHADEMA italirudisha jimbo hilo kwenye uchaguzi ujao wa 2015 kwani wakazi wengi wamemchoka mbunge wao wa sasa ndugu Nyambari Nyangwine(CCM),wanasema kuwa hawajali na hajatekeleza hata ahadi moja aliyoitoa kwenye uchaguzi,wakazi wa vijiji vya Nkende,Songambele,Nyamwaga,Nyamongo,Kemakolele na Sirari wamesema mbunge wao hayupo ofisini kwake muda mwingi yupo Dar.Mwanzoni mwa mwaka huu hakutokea kwenye mkutano wa hadhara aliouitisha huko kijiji cha Kibumaye. Source gazeti la Mzawa.
 
Hawezi kukaa Tarime huyo sababu walimpopoa mawe na kumchania shati lake la CCM.
 
Utekelezaji wa hizo ahadi wasahau.
Serikali yenye iko hoi, inakopa kila mahali.
Mishaara kulipa matatizo.
Waesabu maumivu kina mura!
 
Jimbo la tarime lina vijiji hivyo tu?
mbona kikwete hakutekeleza ahadi alizotoa kwenye mkoa wetu lakini wananchi walimchagua tena?
 
kama hawajali walimchagua wa nini? ndo wajifunze waache kushabikia magamba
 
Hilo jimbo hata sasa ni la upinzani, isipokuwa mbunge wao walipewa na nec.
he wasn't elected by the people of the people
 
Siyo huko tu, mi nadhani hawa jamaa wanakazi kubwa sana 2015..
Wana changamoto nyingi sana za kutekeleza na tumeshawachoka tuwapige chini.
 
jamani ni mpaka 2015?
kwani hayupo kwenye list ya wa ICU?

NATAMANI UCHAGUZI MDOGO HAPO NIMEMIS TIMBWILI ZA WANAUME HAPO.
 
Hili jimbo liko cdm huyo mbwiga aliwekwa hapo na nec,hawezi kuja huku huyo atauwawa bure.
 
Kuhusu Nyangwine wasahau kabisa,huyo jamaa yuko bize na biashara zake za magumashi,tulieni na matatizo yenu yeye hayamuhusu.
 
Back
Top Bottom