Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ulewakati wakuwajua ni akinanani watasimamisha bendera za vyama vyao katika uchaguzi mdogo bila shaka umesha malizika,Katika kuangalia ubora na ustahimilivu wa kisiasa tunatupia macho yetu...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Maghufuli hili linafanyika chini ya wizara yako,Arusha inahitaji kujengwa barabara za nnje ya jiji kutokana na barabara hizo kuwa mbaya kupita kiasi nakupelekea barabara kuu ya uhuru kuwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeshangaa jinsi vyombo vya habari vilivyo komalia habari za rushwa Arumeru. wanasema wamekamata watuhumiwa wa rushwa waliokuwa na nia ya sioi ashinde. Hii ndo moja ya sababu ya kumukata kama...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika kesi iliyoanza jana kupinga matokeo ya ushindi wa mbunge wa ilemela, mahakama kuu ya kanda ya mwanza imeanza kumsikiliza shahidi Beatus Martin Madenge wa upande wa walalamikaji. Shahidi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani tujadilini huu mkanganyiko. Mbunge wa mbalali alipatikana na kosa la jinai. Hatua hiyo ilipelekea ahukumiwe kwenda jela au kulipa faini ya shillingi laki tano. hadi sasa anaendelea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viongozi wa CUF mkoa wa Mara nao watimkia chama kipya cha ADC,viongoZi hao ni aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF wilaya ya Musoma mjini ampapo ndio yalikuwa Makao makuu ya CUF mkoa na ngome kuu ya CUF na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
adai hilo jina lake toka anazaliwa anaitwa Julias Sunday Chales Mtatiro.ila ukienda kwao anajulikana kwa jina sunday hivyo watu waache kumchafu.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Tanzania leads East Africa in global democracy test Bottom of Form Category: East Africa Published on 16 January 2012 Hits: 801 Dar es Salaam. Tanzania has been ranked as the most...
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Habari wana JF. Nadhani sasa ni wakati wa kuelekea mpambano, wadau muacheni Siyoi asonge mbele. Kaza buti kaka, pambana mbele. Mnasemaje wadau?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Naomba niandike ukweli na mtizamo wangu kwa chama cha mapinduzi (CCM) kuhusiana na yanayojili katika mchakato wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru mashariki. Hakuna atakayekataa ukweli kwamba...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimeonelea ni vyema kuonyesha hatari kubwa inayolinyemelea taifa kwa siku za husoni kutokana na uwepo wa Watanzania wenzetu ambao nyoyo zao wamezielekeza katika Kuhakikisha Kwamba wanakuja...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Posted on March 2, 2012 by zanzibaryetu Na Ahmed Rajab RAIS Ali Mohamed Shein ana dhamana kubwa kushinda kiongozi yeyote mwengine wa Zanzibar, tangu nchi hiyo iungane na Tanganyika kuunda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna hii kauli ya watu wanosema ya kwamba eti madaktari waongezewe mishahara mikubwa kwa kuwa wao eti wanaokoa maisha ya watu ! Hivi ingekuwa madaktari wanaokoa maisha ya watu mbona, aliyekuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa nimeshuhudia wanachama wa ccm walio wazalendo wanaokerwa na ufisadi, uongozi usio bora, maisha duni ,elimu duni, huduma duni za afya, uchezeaji rasilimali za nchi na mengi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwaka jana serikali ilitangaza kuanzishwa kwa mikoa, wilaya na kata mpya. Hata hivyo hakuna mkoa, wilaya wala kata moja iliyoanza kazi kwa sababu serikali haina fedha. Aidha hakuna mkuu wa mkoa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanabodi hebu tujaribu kutafakari slogan hizi zimetufikisha wapi? Je ulikuwa usanii! Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi Mpya! Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania! Ari Zaidi, Nguvu Zaidi na Kasi Zaidi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
01 MARCH 2012 *Akiri sakata la muswada wa katiba kumtikisa *Aeleza kilichomfanya asaini haraka haraka Peter Mwenda na Willbroad Mathias RAIS Jakaya Kikwete amekiri kuwa mgomo wa madaktari...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Kesi inayoondelea mahakamani dhidi ya aliekuwa balozi wa Tanzania mjini Roma Prof Mahalu; leo katika utetezi wake kasema kuwa Raisi Kikwete by then waziri wa mambo ya nje alifahamu na kubariki...
3 Reactions
100 Replies
10K Views
Napata tabu sana kupata utashi wa dhati wa viongozi wetu katika suala la kinachoitwa kilimo kwanza. Ukisikiliza sana kauli zao na kuangalia kinachofanyika katika hali halisi utaona kabisa kwamba...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom