Kwa mtindo huu maendeleo tutayasikia kwa wenzetu tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mtindo huu maendeleo tutayasikia kwa wenzetu tu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Mar 2, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Maghufuli hili linafanyika chini ya wizara yako,Arusha inahitaji kujengwa barabara za nnje ya jiji kutokana na barabara hizo kuwa mbaya kupita kiasi nakupelekea barabara kuu ya uhuru kuwa na msongamano wa magari kupita kiasi,barabara hi ya uhuru inahitaji marekebisho kidogo tu ili iendelee kutumika kwamuda mrefu zaidi,wanajamvi hamwezi kuamini kinacho endelea sasahivi ni lami yenye kama NCH moja na1/2 inawekwa juu ya lami,hili linafanyika kwenye barabara ya uhuru na imeanza kuzua malalamiko kwa wananchi.na kuhoji ukowapi umakini wa viongozi nchi hiii?
  CHANZO:MIMI MWENYEWE
   
 2. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Wewe ni raia wa wapi? hujui tanzania haijui kujenga maendeleo ila inajua kujenga jina la chama tuu? Tanzania inajua
  1_kusaidia wakimbizi
  2-kutukana mabepari
  3_kutatua migogoro ya nchi za watu wengine
  4-kumchukia mhayudi
  5-kucheza kwata uwanja wa taifa
  6-kufundisha mgambo
  7-kudanganya umma
  9-kuuwa viwanda vyake na kujenga daraja kubwa la watu wasio na kazi
  10-kusifia uongozi wa awamu ya kwanza masaa 24

  hayo ndiyo mambo tuliyofanyia kazi miaka 50 tangia tupate uhuru!!haya mambo ya kuwa na jiji zuri, kuwa barabara nzuri, na juwa na katiba ya watu, hayana nafasi katika jamii hii ya sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hiyo ndugu.
  mimi mdanganyika ndugu
   
 4. Y

  Yarrot Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kimsingi kinachifanyika Uhuru Road ni sahihi wanaongeza layer ya lami coz iliyopo inaonekena kuchoka, so tusiwe wepesi wa kulaumu kila jambo!
   
 5. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ndugu hiyo barabara haihitaji ukarabati mkubwa hivyo wakati ukitoka kidogo tu nje ya hiyo barabara hakufai,tukubali hapa kunamchezo
   
Loading...