Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CUF kilikuwa chama chenye nguvu sana nchini tanzania.watu walikikubali wengi walijiunga nacho na wale ambao hawakujiunga walikubali nguvu iliyokuwa nayo CUF tena kilikuwa chama chenye uongozi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimetafakari kwa kina nikaona Mkuu wa mkoa na Meya wanafanya kazi kwa asilimia fulani zinashabihiana, Basi napendekeza Meya ndo afanye kazi za mkuu wa mkoa. Kwani kwa sasa wakuu wa mikoa wengi ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Niliwahi kuanzisha mada humu ndani ikisema kwamba mambo si shwari kati ya ma DR na Kamati ya Bwana Pinda! Hii imejidhihirisha leo ambapo kamati hiyo imeshakabidhi mapendekezo yake kwa mh. Pinda...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Chama cha wanachi CUF kimefanya mikutano mikubwa wilaya ya bunda.Wananchi wamepatwa na furaha kubwa hasa pale Naib u katibu mkuu wa CUF Mtatiro alipokuwa akiwaelimisha suala la Katiba mpya.Huku...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Update............. * yule katibu wa uenezi bwana Nape nauye siku ya leo ameshindwa kuja mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili juu ya kuingilia uhuru wa mahakama kuhusiana na kesi ya uchaguzi ya...
6 Reactions
55 Replies
7K Views
Wana JF tayari mgombea wa CHADEMA jimbo la ARUMERU ametangazwa,hebu tuambiane na kukishauri CHAMA HIKI ni kamanda yupi aongoze wapi katika mapambano ya kulichukuwa Jimbo la Arumeru na Apangiwe...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu, Ndo tabu ya kujenga demokrasia kwenye nchi masikini kama Tanzania, sio kazi rahisi hasa mafanikio yakishaanza kuonekana au kupata mafanikio kidogo sana, taasisi zinazoijenga demokrasia hasa...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
* Yadaiwa inawazibia wenye uwezo, kusababisha mpasuko CCM Na Reuben Kagaruki Mwandishi Wetu SIKU chache baada ya gazeti moja la kila siku (sio Majira) kumnukuu Rais Jakaya Kikwete, akihadharisha...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Heshma kwenu wakuu; Nilikuwa napitapita mtandaoni nikakutana na hii kitu inaitwa "Chiefs of State and Cabinet Members of Foreign Governments" and was updated on 23, Aug 2011. Sasa hii Wizara...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwaka mzima huu hamjakamata rushwa hata moja hadi uchaguzi wa Arumeru ulipowadia. Cha kushangaza mko BIAS hadi kila mtu anaona kuwa mmetumwa kukomalia upande mmoja. Kitendo cha kuwakamata watu...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Joshua Nassari ameshinda kura za maoni za ndani ya chama na hivyo kuwa amepitishwa na mkutano mkuu wa wilaya kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Arumeru mashariki kupitia chadema. Nassari amepata...
19 Reactions
279 Replies
26K Views
  • Closed
Kamati kuu ya CHADEMA inakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe na Katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa kwa ajili ya kulijadili na kupitisha rasmi jina la mgombea Ubunge wa chama hicho jimbo la...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Niwafahamishe watanzania ya kuwa,Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni nchi kubwa sana. Mfumo wa utawala wa nchi ikiwa ni pamoja na ukubwa wake unatoa mwanya kwa 'wafalme wa mwitu' kuwa na kila sifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kunapokua na muungano kati ya vyama vya kisiasa katika kuunda serikali ya pamoja huzingatia sera(mrengo), katiba, falsafa,mitizamo na desturi za vyama hivyo katika kuendesha shughuli mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa SIYOI AMBWAGA TENA SARAKIKYA Waandishi Wetu, Arusha KWA mara ya pili, wana CCM Jimbo la Arumeru Mashariki wamedhihirisha kuwa chaguo lao ni Siyoi...
3 Reactions
134 Replies
16K Views
chadema chadema chadema, msijipe moyo kuwa mtashinda arumeru mashariki,watanzania ni watu wa ajabu sana,labda niwakumbushe kidogo wakati kashfa kuu kwa serikali ya richmond kulikuwa na uchaguzi...
13 Reactions
46 Replies
5K Views
Heshima kwenu wanaJF, Wakuu kama mtakumbuka wakati mwenyekiti wa jumuia ya kuratibu mgomo wa madaktari Dr.Ulimboka alivyotangaza kwenye taarifa yake ikumbukwe alisema mgomo UMEAHIRISHWA na wala...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Kuna mbinu kadhaa vyama tawala Africa, hasa CCM, hutumia kuiba kura na au kubadili matokeo ili vishinde. Zifuatazo ni baadhi na mbinu CDM inaweza kutumia kukabiliana nazo 1. Kuhonga mawakala...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Wana JF kama mnakumbuka majuzi niliwaambia kuhusu anguko la CUF mkoani Mara na wengine wakabeza na sasa limetokea, Habari kutoka Chanzo cha kuaminika sasa ni kufuatia kifo cha CCM (musoma...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Beibei Yin | guardian.co.uk, | Friday 2 Marc 2012 Private Chinese Investment to extend Tanzania's main airport has led to the eviction of 1,300 families and brought few gains Julius...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom