Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ofisi ya CUF Mkoa wa mara imefungwa kwa viongozi wote wa mkoa kujitoa na kudai kuwa wanajipunyua manyoya ya CUF na kushusha tuhuma nzito kwa uongozi wa CUF taifa kuwa umekosa mwelekeo na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa, Kasi inayoonyeshwa na makamanda wapiganaji wa Chadema Morogoro inawatisha chama cha Maumivu au Magamba kiasi kwaba wanakesha wakiweka vikao vya kuwarubuni Vijana,Wanawake na Wazee...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna viongozi wengi ambao niliwaamini kwa nguvu waliotoka nayo mtaani,na matatizo wanayo yajua ya vijana,lakini hamuwezi kuamini hii nchi inaongozwa kwa misingi ambayo vyama vyote vinafata hiyo...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Mhe. Mulugo, Naibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alisoma High School Songea Boys kuanzia mwaka 1994-1996. Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Songea Boys kipindi hicho...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Elias Msuya MKANGANYIKO wa kauli za viongozi wa serikali kuhusu ugonjwa unaomsumbua Naibu waziri wa ujenzi Dk Harrison Mwakyembe unahusishwa na fukuto la kashfa ya Richmond aliloliibua na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nisaidieni kunijuza, hivi kile kitengo cha propaganda cha Chama Cha Mapinduzi kilichokuwa chini ya Tambwe Hiza bado kipo? Maana tangu mwaka 2010 baada ya uchaguzi mkuu sijakisikia na wala...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Matatizo kwa mtu yeyote, taasisi, nchi nk. ni sehemu ya uhai wake. utofauti unakuja pale mbapo mtu mmoja anapatwa na tatizo na mara hiyo anarespond to it (rightly and effectively). Wakati mtu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Kikwete asitisha uuzaji shamba la mpira Steven William, Muheza RAIS Jakaya Kikwete imepiga marufuku kuuzwa kwa mwekezaji yeyote shamba la mpira la Kihuhwi Rubber Plantations, liliyopo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mar 1 MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MACHINJIO-IRINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la msingi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana Bodi wenzangu, labda nianze kwa kusema sina wasiwasi na utendaji wa Celina Kombani hata kidogo kwa kuwa sote tumemuona akiwa naibu Waziri na baadae Waziri kamili kwenye wizara nyingine...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JK: Hatutaki Rais mzee 2015 Na Nasra Abdallah WAKATI makundi ya urais yakijipanga kuwania kiti hicho mwaka 2015, bila kuyajali, Rais Jakaya Kikwete amesema wanaota urais wakiwa na umri...
1 Reactions
163 Replies
12K Views
Mwandishi Wetu - Raia Mwema Rais Jakaya Kikwete Mali zao kutangazwa hadharani Desemba, sheria kufumuliwa Wengi serikalini wajipanga kukwamisha utekelezaji Kikwete aiga mfumo huo kwa Rais...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanachama wa CCM wamechoka na sasa imekuwa ni aibu kubwa huko Meru kwa namna vitendo vya kuchafuana vinavyoendelea baina ya wagombea wawili SIOI na SARAKIKYA. Matusi, rushwa, uzushi, mnyukano na...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wana Jamvi, Habari kutoka watu wa karibu na SIOI, inasema kuwa kundi limejipanga kuwa endapo atashindwa kwenye kura za maoni au atashinda na pengine CC ya CCm ikamtosa, then wataungana na Chadema...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wednesday, 29 February 2012 08:32 Pamela Chilongola na Keneth Goliama MWENYEKITI wa Chama Cha Tanzania Labour Part (TLP ) Augustino Mrema amemtaka Spika wa Bunge, Anne Makinda kuwa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SERIKALI ya Zanzibar imekiri kuondoa Wahariri wawili wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) kwa madai ya kuwagonganisha vichwa (fitna) Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wa Kwanza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mahakama yaamuru Jangwani wasibomolewe Nora Damian Dsm. MAHAKAMA Kuu,Kitengo cha Ardhi, imetoa amri kwa mamlaka zinazohusika kutovunja nyumba katika eneo la Jangwani mpaka itakapotoa uamuzi...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Bara, John Chiligati juzialitaka kujiuzulu ujumbe wa Sekretarieti ya chama hicho mbele ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete kutokana na kukerwa na kile alichokiita...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed, ameibuka na kuweka wazi dhamira yake kwamba, kama Mahakama Kuu itaridhia uamuzi uliofikiwa na Baraza Kuu la Uongozi wa CUF Taifa wa kuvuliwa uanachama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu, wadau nimekuwa nikiitizama Nchi yetu kwa muda mrefu na kuutafakari uelekeo wetu na kushindwa hata kuamua kwa vitu vidogo kabisa. Hebu fikiria hadi leo hii, Tanzania na ikiwa ni hivi majuzi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom