Madaktari hawaokoi maisha bali wanatibia tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari hawaokoi maisha bali wanatibia tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaNanii, Mar 1, 2012.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33


  Kuna hii kauli ya watu wanosema ya kwamba eti madaktari waongezewe mishahara mikubwa kwa kuwa wao eti wanaokoa maisha ya watu !

  Hivi ingekuwa madaktari wanaokoa maisha ya watu mbona, aliyekuwa rais mstaafu Julius K. Nyerere amekufa hivi hivi huku kazungukwa na jopo la madaktari bingwa tena wa Uingereza ambao mishahara yao ni mikubwa, vitendea kazi vya kutosha. Si wangeokoa maisha ya Nyerere basi , mbona amekufa ?
   
 2. Nachingwea

  Nachingwea Senior Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 173
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  [Ndugu nashindwa kukuelewa, sijuhi inatokana na ufinyu wa elimu yako.... pia labda unatumia kiungo kingine mbdala ya ubongo kufikiri  QUOTE=MWANAID PAWA;3415489]

  Kuna hii kauli ya watu wanosema ya kwamba eti madaktari waongezewe mishahara mikubwa kwa kuwa wao eti wanaokoa maisha ya watu !

  Hivi ingekuwa madaktari wanaokoa maisha ya watu mbona, aliyekuwa rais mstaafu Julius K. Nyerere amekufa hivi hivi huku kazungukwa na jopo la madaktari bingwa tena wa Uingereza ambao mishahara yao ni mikubwa, vitendea kazi vya kutosha. Si wangeokoa maisha ya Nyerere basi , mbona amekufa ?
  [/QUOTE]
   
 3. Gobegobe

  Gobegobe JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jipe muda kutafakari tena kauli yako.
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  asante jf hadi nakutana komedi za ajabu hum ndani
   
 5. f

  frontline1 Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mlet mada atakuw wa chama cha chechemea maana hawa jamaa wamekabidhi brain zao kwa mwenyekiti wa chama!
   
 6. m

  marijanda Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  unahitaji msaada wa daktari kwa hali yako hiyo maana una matatizo, japo unawakandia njoo tukupe tiba sahihi
   
 7. N

  Nguto JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Lengo la hii mada haileweki!!! Unataka kusema nini hasa??
   
 8. ipogolo

  ipogolo JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 4,090
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Alichokieleza mwanaidi yupo sawa. daktari hawaokoi maisha bali wanatibu tu. katoa mfano wa jkn, na mie naongeza hivi ulaya kwenye mabingwa wa tiba na mazingira mazuri bado bin adamu anaaga dunia. mganga hajigangi tafakari utapata jibu. tatizo mnadandia mada bila kutafakari mwanzilishi anamaanisha nini. kwangu raktari is nothing kwa kuwa siumwi namtaka mwalimu kwa kuwa ninasoma sasa. kesho nikinunua gari kwangu mlinzi mwenye mshare atakuwa na umuhimu kwangu. nikioa na kupata mtoto, house girl atakuwa wa maana. KILI MTU ANA UMUHIMU NA UHITAJI KULINGANA NA MAZINGIRA.
   
Loading...