Julius mtatiro akana kuiba jina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Julius mtatiro akana kuiba jina

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by idawa, Mar 2, 2012.

 1. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  adai hilo jina lake toka anazaliwa anaitwa Julias Sunday Chales Mtatiro.ila ukienda kwao anajulikana kwa jina sunday hivyo watu waache kumchafu.
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,320
  Likes Received: 2,295
  Trophy Points: 280
  Hivi sio member humu? lakini safi...na wengine wafuate
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ni member humu.......hapo kwenye blue ina maana wapo wengi ambao wanatumia majina ambayo sio yao...
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  mmojawapo ni mwigulu madelu nchemba, alivunja sheria ya nchi kuhusu mitihani darasa la saba, haikuruhusiwa kukariri mtihani wa darasa hilo. ili kufanikisha uvunjifu huo wa sheria alichukua jina la mwanafunzi ambaye hangekuwa na sifa ya kukariri, ukweli unabakia kuwa amekariri.
   
 5. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  NASIKIA JULIAS MTATIRO NI USTAADHI ,NA HATA UKIANGALIA PICHA YAKE ANA SINGI,MWENYE PICHA YAKE AWEKE HAPA PLS ILA JINA LAKE LA KI CUF SILIJuI
   
 6. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwani aliiba jina la nani? Tujuze jamani
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  tuhuma nyingine ya kuua chama cha cuf
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  inawezekana kweli mkuu.nimemwona asubui star tv nikahisi labda kovu manake pameiva sana basi jamaa itakua ostadhi mzuri tu.
   
 9. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  View attachment 48496

  JAMANI HUYU SIYO USTAAZI KWELI HIYO HAPO SI SINGI HIYO,ATUAMBIE JINA LAKE LA KIcuf ASITUDANGANYE
   
 10. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo pakubwa mkuu mbona iko wazi sana? Kwani hata kama jina limekuhadaa chama chake kimebainisha wazi.
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  inasemekana wakati anahitimu darasa la saba hakufaulu hivyo ikabidi arudie darasa kwa kutumia jina la mtu mwingine.na inasemekana mweye jina halisi la Julias yupo huko kijijini kwao.so leo wakati akihojiwa star tv asubui amekana na kusema majina yote yake.
   
 12. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Haya inaonekana watu hawataki masihara na mambo haya ya majina .?
  kwa hiyo hapa naona mambo yanaenda kimzobe mazobe ukichunguza
  utakuta kuna watu wengi tu wanakuwa
  na ishu hizi
   
 13. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Issue za majina hazina uzito sana Tz ikumbukwe asilimia kubwa ya watz hasa awliosoma miaka ya 90 kurudi nyuma wana majina ya kurudia shule za msingi wakati sekondari zilipokuwa chache hata mmoja wa viongozi wa juu CDM nae nashangaa siku hizi jina limebadilika tofauti na tulipo kuwa nae shule!Muhimu mtu awe na elimu stahiki aliyoisomea bas.
   
 14. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama siyo ustaadhi na kwamba anatuhadaa kwa majina tena yote tumwandalie mbuzi katoliki?
   
 15. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Duh! Jina la ki-cuf ndio liko liko kivipi?
   
 16. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Alikosea sana huyu jamaa fungu alilolichagua na kweli linamgharimu sana, anaona aibu kujua ukweli ulipo,,ipo siku atashindwa na atageuka tu kuangalia alipotoka
   
 17. b

  busar JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  inawezekana alikariri darasa la saba ( kurudia darasa kama hukufaulu at first round) mliosoma tarehe za nyuma 1994 mmepita katika style hiyo sana tu. si mtatiro tu.
   
 18. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Israeli akiamua kukuandama bana.................we acha tu.............Israeli analiandama lango la CUf na watu wake.
   
 19. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  POINTLESS AND NONSENSE COMMENTS, kukaa kimya kwa jambo usilolijua ni hekima kuliko kuongea
   
 20. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Mkuu wanawaanisha jina lake la kislam! Hapa ni jf kaka
   
Loading...