Kikwazo kilichobaki kwa Siyoi ni Takukuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwazo kilichobaki kwa Siyoi ni Takukuru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by dubu, Mar 1, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Nimeshangaa jinsi vyombo vya habari vilivyo komalia habari za rushwa Arumeru. wanasema wamekamata watuhumiwa wa rushwa waliokuwa na nia ya sioi ashinde. Hii ndo moja ya sababu ya kumukata kama wana nia ya kumtoa. hakuna kinacho shindikana. Sioi asishangilie sana kwani hajavuka mto.
   
 2. U

  UNIQUE Senior Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hyo mtoto ana hela wampe nafasi kwa vile kuwa na hela ndiyo sera ya ccm. Acha tule hela za lowassa ati
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sakata linaendelea hata hivyo naamini ccm watatumia busara kuweka mgombea atakayeleta ushindi.
   
 4. T

  T. 2015 CCM Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyoi hawezi kuwa mgombea sahihi kwa CCM ya sasa, hebu tungoje!
   
 5. D

  Dopas JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Naungana nawe T. 2015 kuwa Siyoi sio chaguo sahihi kwa sasa kwaajili ya Arumeru Mashariki,
  HASA kama kuna mkono wa Lowasa nyuma yake.
  Hivi msiba wa babake Siyoi wamemaliza matanga kweli? Inakuwaje leo yupo kwenye malumbano ya siasa wakati ndo majuzi tu tulikuwa na msiba wa babake. Kwani lazima Mbunge wa Arumeru Mashariki atoke kwenye familia yao?
  Ndo maana nasema, kwa hili la msiba majuzi tu, na kama mkono wa Lowasa upo nyuma yake, Siyoi hafai kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki kwa sasa. Atulie kwanza, muda bado upo.
  Ni kwa sababu hiyo pia wenye akili wanaona Lowasa hafai kuwa Rais wa nchi hii, pamoja na kuanza kampeni ya chini kwa chini kupitia makanisani...
  Sasa naanza kuona kuwa LOWASA ni mtu hatari sana... Najiuliza kwanini anautafuta URAIS kwa nguvu namna hii?
  Hata kama bado hajatangaza nia hiyo...?
  Wa kupinga hili apinge, lakini huhitaji kusoma mistari tu, ili uelewe ujumbe, bali hata katikati ya mistari...
   
 6. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  There is a very highly classified conspirancy going on between JK and Lowassa. Ni vigumu sana kugundua katika hali ya kawaida, lakini ukweli ni kwamba JK is backing-up Lowassa in a very sophisticated way. Baada ya uchaguzi wa 2010 JK anajua wazi kuwa watanzania kwa asilimia kubwa wamemchoka, slogan zake hali mpya na nguvu mpya zilikuwa sanaa. Njia pekee anayoweza kumjenga Lowassa mpaka sasa ni kuonyesha hamtaki hata kidogo kwani anajua wazi kuwa watu wengi kwa kuwa wamemchoka watakuwa wanacounter attack maoni yake then watakuwa wakiwapenda wapinzani wake. Na kwa hii move jamaa wameanza kwa kucheza na flow vizuri mno. Hiyo ni michezo ya siasa tu, watu wanavyosema hawakukutana barabarani wana maana yao. Tega sikio 2015
   
 7. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  100% nakubaliana na wewe manake kuna picha ya kihindi inachezwa na hawa maswahiba wawili watu hawajajua. Mtu wakuja kumlinda JK asibuguthiwe ni Lowasa peke yake. Nilishangaa pale JK alipowagomea CCM kumfukuza Lowasa kwenye chama. Hapa wanakitu wanafanya chini kwa chini.
   
 8. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  belive me, kikwete hawezi kufikiria kama unavofikiria,wale wanachuki za kweli.
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuna mwanaume alosimamishwa na cdm hatoweza kukabiliana nae kamwe
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hata kama wangemfufu Nyerere akagombee kupitia ccm pale arumeru hatoweza kushinda ktk huo uchaguzi
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Laiti kama angejua hata baba yake arudi leo na akagombea kupita ccm hatoweza kushinda asingejisumbua namna hiyo
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  some how your right & u think great
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kugoma asivuliwe gamba alihofia kwani richmond ilikuwa inamhusu jk kwa kiasi kikubwa
   
 14. a

  adobe JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  utumbo wa bata
   
 15. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hadithi hii kakufundisha nani? Na kakwambia ina maana gani?
   
 16. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,062
  Likes Received: 1,450
  Trophy Points: 280
  Mie nadhani apewe nafasi huyu kwa sababu Anne Makinda amweripoti kuwa wabunge wengi HAWANA FWEZA! Yaani: NI MASIKINI. Huyu akikipata hikyo kiti atapunguza mzigo wa kudai posho IONGEZWE!
   
 17. g

  greenstar JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wait & see !
   
 18. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Naona kuna watu hawaelewi hii movie ya el, au hawamuelewi el vizuri, na hata hawaelewi uhusiano uliopo kati ya el na Jk. Subirini 2015, lakini pia najua kuna wachache ambao hapa jf wanaelewa vizuri hii movie lakini wanapochangia, kuna wengine huropoka kwa sababu tuu hawampendi el hata kusikia tuu. The fact is, 2015 rais akiwa el mtafanyaje?
  Kazi ni kwenu
  :A S 465:
   
 19. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mkuu uko sahihi sana. Hawa jamaa bifu lao ni la wazi na wala hamna picha ya kihindi. Kwa waliomuona EL kipindi hiki, yuko weak kiaina, sio yule mpambanaji tuliyemzoea.Nadhani wameshammwakyembe kwa style nyingine
   
 20. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Na takukuru nao wasishangilie kwani punde huyo anayewatuma hatakuwa madarakani. Na hakika maandiko yatatimia ya kuwa jiwe waliloliacha waashi ndilo jiwe kuu la pembeni na yeyote atakayejikwaa kwalo atavunjikavunjika.
   
Loading...