Viongozi hawa watimkia ADC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi hawa watimkia ADC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Feb 29, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa CUF mkoa wa Mara nao watimkia chama kipya cha ADC,viongoZi hao ni aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF wilaya ya Musoma mjini ampapo ndio yalikuwa Makao makuu ya CUF mkoa na ngome kuu ya CUF na aliyewahi kuwa Diwani wa kata ya IRINGO Didi Musira Koko kwa chama cha Wananchi(CUF)
  Pia aliyekuwa Katibu wa wilaya bwana JUMANNE Magafu yeye ametimkia CHADEMA sambamba na aliyekuwa Mwenyekiti wa vijana wa Wilaya ndugu Galole Masaka huku Mwenyekiti wa baraza la wanawake la wilaya bi Maimunah Matolah(CUF) akitimkia ADC,na pia wanachama 321 wa CUF wamehamia chadema kutokana na CUF kudhoofika sana mkoani Mara na kuanguka Vibaya katika uchaguzi mkuu wa 2010 ampapo Mgombea wa CUF ndugu Mustafa Wandwe alipata kura 256 kati ya kura 60,000 zilizopigwa
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongereni wanachama kwa maamuzi ya busara.
   
 3. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa kweli hili chama langu la cdm linanikosha sana,mambo shwaaaaaaaaariiiiiiiii,da aiseeeeeee hadi rahaaaaaaaaaaaaa..
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Duh! Hadi Mara viongozi wa CUF ni waislam!
   
 5. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,187
  Trophy Points: 280
  Mbna sijasikia wengine wakiamia magamban?ama kuna upotoshaji ktk upashanaji huu wa habari?
   
 6. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hao lengo lao wanawahi vyeo huko na wakikosa wataendelea kutapatapa, kwani si walikuwa CCM kabla ya kujiunga cuf.
   
 7. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hata mie sjaskia wakihamia CCM ila Habari ndo hiyo
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Naona CUF inaelekea kaburini...
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,006
  Likes Received: 2,658
  Trophy Points: 280
  Karibu tunabaki na jina tu sasa,wanachama wote wanakimbia.
   
 10. Unyanga

  Unyanga JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wapenzi wa chadema bhana hapa hamuulizi source, lakini ingekuwa ndo wamehama cdm na kwenda cuf coment ya kwanza tu ingeuliza source plz!
   
 11. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kazi kweelii kweelii !!!!!

  What a waste of time and efforts? Jumping from a frying pan into the flames !!!!!!!!

  GOOD LUCK.
   
 12. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  barubaru hajacomment bado
   
 13. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Barubaru atakua kajiunga na Jahazi Asilia.
   
 14. 1

  19don JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  :shetani::rip: CUF
   
 15. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mtatiro ataenda Mara tarehe 6 kuanza upya leo wameondoka rasmi
   
 16. C

  Cupid 50mg Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba nayo so soon kwisne.
   
 17. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,460
  Trophy Points: 280
  Nimegundua siasa ndiyo inayotufanya watanzania tuwe maskini. Sababu badala ya kutufikirisha tujikwamue kimaisha wenyewe wanalazisha tuwamini kwa lazima wakati wanatafuta ruzuku.
   
 18. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Busara ipi hapo mkuu kama siyo kuua upinzani na kuzibiana riziki kwa wivu na tamaa ya ubosi
   
 19. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mtatiro kutimkia chadema soon
   
 20. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vipi Charles Mwela?
   
Loading...