Wakuu muda si mrefu nimemuona mbunge wa Arusha mjini (CHADEMA) Godbless Lema maeneo ya Kikatiti. Alikua ndani ya gari na alisimama ili kusalimia watu ambao walianza kulizunguka gari lake...
Bw nassary mimi ni mkazi wa sing'isi meru na ni mmoja nliyekupa kura ktk mchakato wa awali wa maoni.Unafahamu kuwa kipindupindu kimeua wanetu kutokana na msongamano wa watu,ufinyu wa maeneo.mwaka...
Has it gone?
For all the bluster about safe havens and all that, I don't get the impression that we in Tanzania are spectators.
Do we have any real freedom of manoeuvre, economic or otherwise...
Leo jamhuri ya Kenya imezindua ujenzi wa moja ya bandari kubwa barani Afrika.
Sote tunajua udhaifu wa bandari yetu,iliyojaa urasimu,wizi wa vifaa nk.....Kwa mtindo huo ipo haja ya kuifanyia...
Hiyo ni kutoka kwa mkutano wa London. Sasa tukae mkao wa kuliwa na ma Al shabab.
Hivi Ben yupo wapi kumfundisha huyu jamaa kusema "NO"?
Source - Al Jazeera news/English
BY Beibei Yin
guardian.co.uk, Friday 2 March 2012 10.34 GMT
Article history
Julius Nyerere international airport in Dar Es Salam, which was due to be extended using Chinese investment...
zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya ile siku ya tarehe tatu mwezi wa tatu najaribu kujiuliza ni kwa kiwango gani serikali imeweza kushughulikia madai ya madaktari?je tutegemee mgomo mwimgine wa...
Wanajamvi sitasema sana ila nitaachia hizi takwimu zijisemee! Naomba mchango wenu.
Mwaka
Idadi ya watu
Population
Waliojiandikisha
Waliopiga kura
Kura alizopata Raisi vs...
Jamani sikuhizi hii ITV nimekua siielewi, wanakipindi chao kinaitwa MALUMBANO YA HOJA ambacho mada inasema PILISI KUUA RAIA KWA SILAHA ZA MOTO WAKITAWANYA MAANDAMANO,JE WANAHESHIMU NA KULINDA HAKI...
1.Mshahara kwa mwezi tshs 2,300,000/=
2.Mafuta ya gari kwa mwezi 2,000,000/=i.e ltr 1000 kwa mwezi
3.Posho ya ubunge kwa mwezi 1,000,000/=
4.Posho ya kukaa bungeni kwa siku 80,000/=
5.Posho ya...
Ni matumaini yangu kuwa humu ndani wengi wetu tulishiriki upigaji kura mwaka 2010, kama hiyo haitoshi tunao Wabunge humu ndani na wengine walishiriki kwa ukaribu zaidi mchakato mzima wa kampeni za...
Nakumbuka rais akiwa safarini Pinda alishindwa kumuwajibisha Jairo, Leo hii Rais yupo nje ya nchi nasikia Pinda kamuwajibisha Blandina Nyoni. Hivi Jairo na Nyoni wanatofautiana nini? kama wapo...
... ambao waliujadili muswada huo na kuupitisha. Wangeweza kuhisi wamedharauliwa na kuonekana hawana thamani. Jakaya Kikwete.
Hii maana yake ni kwamba wabunge ni bora kuliko wananchi ambao ni...
... ambao waliujadili muswada huo na kuupitisha. Wangeweza kuhisi wamedharauliwa na kuonekana hawana thamani. Jakaya Kikwete.
Hii maana yake ni kwamba wabunge ni bora kuliko wananchi ambao ni...
Naamini asilimia 100% wananchi wa Arumeru mashariki wasiposimama kidete watapewa mbunge ambao hawakumchagua.Mtu yoyote aniambie ni mbunge gani wa upinzani 2010 alitangazwa ameshinda bila shinikizo...
Wakati mwingine inabidi kuongelea mazuri tunayotegemea kufanyika mbeleni baada ya kuona usasa na uliopita (present and past) una mazuri machache sana ya kusherehekea.
Weekend ya pasaka...
Je umri unaotajwa wa 35 unafaa kuwa mmojawapo za sifa za presidential candidate ajae,pamoja na matukio yaliyotokea huko Zaire ya zamani kutoa kijana mdogo kama Joseph Kabila na Liberia Samwel...
Lawrence Masha, former Minister of Home Affairs. In recent years, Mr. Masha has been accused on several occasions of conflicts of interest, including in the multi-million dollar national identity...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.