Kwenye uchaguzi huu Chadema kimeamua kuhakiki wapigakura wake katika vijiji vyote vya Jimbo la Arumeru Mashariki mbinu ambayo ilitumiwa na CCM kwenye uchaguzi uliopita wa Igunga. Jimbo hilo lina...
Sioi j Sumari ameshinda tena kuwa mgombea ubunge wa jimbo la arumeru mashariki kwa tikiti ya CCM, awali alikuwa ameshinda huku akifuatiwa kwa karibu na Sarakikya. Nauchukulia ushindi huu kama pigo...
Remija Mtema
Wapendwa salamu!
Familia ya Dr Estelatus Mtema inapenda kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki zetu wote kwenye kumaliza msiba (arobaini) ya mpendwa wetu Mh Regia Estelatus Mtema...
Hawa ni wanaharakati walio andamana mpaka Ikulu jana kukumbushia azimio la Msumbiji mwaka 2003 juu yaongezeko la chakula mpaka kufikia bajeti ya 10%.
Rais hakuona nongwa kuwakaribisha kabisa...
Habari za Ijumaa wanaJF
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara Julius Mtatiro atazungumza kuhusu majaaliwa ya chama hicho kwa sasa kutokana na upepo mbaya wa kisiasa unaovuma katika Chama hicho, Lakini...
What next for 'Iron Lady'?
Send to a friend
Saturday, 25 February 2012 21:49
digg
By Bernard James, The Citizen Reporter
Dar es Salaam. For Ms Blandina Nyoni, misfortunes rarely come...
Kufuatia hotuba ya JK leo kwa Taifa, ameonyesha wazi kuwa hivi sasa yuko katika wakati mgumu sana wa utendaji wake wa kazi. Amethibitisha kuwa anapata mashinikizo kutoka chama chake CCM, wabunge...
....Huyu si mwingine bali ni SAID MIRAJ...katika uchaguzi wa mwaka 2010 huyu ndiye mtu muhimu alichangia kushindwa vibaya kwa CUF katika nafasi ya urais kipindi hicho akiwa hana ugomvi wowote na...
Jana kulikuwa na kutangazwa kwa matokeo jimbo la arumeru, baada ya kurudiwa kwa uchaguzi. Mara walisema kuwa jamaa ni mkenya, holo wakashindwa kithibitisha kisha wakaja na sera ya kuwa awali...
Jana kulikuwa na kutangazwa kwa matokeo jimbo la arumeru, baada ya kurudiwa kwa uchaguzi. Mara walisema kuwa jamaa ni mkenya, holo wakashindwa kithibitisha kisha wakaja na sera ya kuwa awali...
Wakuu
Naomba mwenye wasifu wa kutosha kwa wagombea wa Arumeru Mashariki atutupie hapa ili tunapochangia wote tuwe na uelewa mpana (na si ushabiki tu!!)na pindi tu mmojawapo atakapoingia mjengonu...
Heshima yako mkuu, kwanza hongera kwa ushindi wa kishindo ktk kura za maoni ambao nadhani hautatofautiana sana na ushindi wenyewe!
Ningependa nichukue fursa hii kukuomba uje hapa jamvini ujadili...
Mvutomkubwa unaotokana na itikadi za kisiasa, umeibuka mbele ya Makamu wa Rais, Dk.Mohamed Gharib Bilal kati ya wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Vita kubwa ambayo itagharimu maisha ya wananchi ni migogoro ya ardhi iliyoshika kasi kubwa kwa sasa hapa nchini mwetu.Utendaji mbovu na tamu inayosababishwa na njaa za watendaji waliopewa dhamana...
01 MARCH 2012
Salim Nyomolelo na Grace Ndossa
WAKATI wabunge wengi wakishinikiza kuongezewa posho kutoka sh. 70,000 hadi 200,000, imebainika kuwa baadhi yao hawaelewi kutafsiri lugha ya bajeti...
Nimemsikia Hamad Rashid Mohamed akisema kuwa wakati wa kampeni za ubunge huko Igunga Bw. Mtatiro alipewa kiasi cha Shs. 128 milioni na matokeo yake ni kwamba alizitumia hizo hela kuponda raha...
naibu katibu mkuu wa CUF ndugu Julius Mtatiro yupo zake chuo cha SAUT kwa mkutano na wanafunzi ambao ni wanachma wa chama hiko ila mwtikio wa wanafunzi ni mdogo. Je chama kishapoteza dira??
Ni katika kuhitimisha ziara za ufunguzi wa matawi ya chama, leo katika mkutano uliofanyika soko kuu iringa mjini Mhe. msigwa alitumia nafasi hii kutoa tamko kwa chama cha mapinduzi kuacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.