Wapi Slogan hizi?!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi Slogan hizi?!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwikumwiku, Mar 2, 2012.

 1. m

  mwikumwiku Senior Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanabodi hebu tujaribu kutafakari slogan hizi zimetufikisha wapi? Je ulikuwa usanii!
  Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi Mpya!
  Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania!
  Ari Zaidi, Nguvu Zaidi na Kasi Zaidi!
  ::::::::::::::
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,453
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Inategemea wewe ulitaka zikufikishe wapi. Mtu kama mimi zimenisaidia kuwasiliana na watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa wanaokuja kutembelea Arusha.
   
 3. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,727
  Likes Received: 636
  Trophy Points: 280
  kifurushi cha 400mb hakipo tena jaribu baadae
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,608
  Likes Received: 3,725
  Trophy Points: 280
  zimetufikisha HAPA TULIPO
   
 5. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwikumwiku hizo ni siasa, bila slogans huwezi kushinda, ziliwasaidia ccm kuchukua nchi na leo wanakula taratibu
   
 6. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,137
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Alieziamini ndo tunapaswa kumhoji vizuri atupe base alizotumia kuamini hizo slogans,hivi mlipokaririshwa 'maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana'kipi kiliwafanya muamini,kama Mwl Nyerere mwenyewe alishindwa kuhakikisha maisha bora kwa kila mtanzania mliwategemea akina Jk,EL,RA ndo wangeleta hayo maisha? Kila aloamini huu msemo ni mwendawazimu wa grade one!!
   
 7. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,790
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  ziliisha bila uhalisia,tusubiri mpya! Au zinatumika kny matumizi mabaya ya uongozi...i.e ufisadi zaidi,kusafiri zaidi,n.k
   
 8. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Funga mkanda, zitatufikia tutakapoamka usingizini, bado tunaota
   
 9. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Hizi Slogans zitatufikisha mwaka 2015.

  USIJALI YOTE YANAWEZEKANA BADO TUNATAFAKARI TUJE NA MPYA IPI 2015 ILI MTUCHAGUE.


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 10. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Kauli mbiu bila nia ya dhati huwa historia. Wapi zilipo kilimo cha kufa na kupona, kilimo uti wa mgongo, mapinduzi ya kijani, kilimo kwanza n.k. Kauli kama hiz pale Congo Kinshasa tunaita ni Maniance yaani ni mbwembwe au madoido ya kisiasa.
   
 11. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  najuta kufungua hii post hamna la maana hapa
   
 12. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daa,inasikitisha, wa A Town afu unakuwa na ishu za kimaandazi kiasi hiki! bure kabisa
   
 13. m

  mwikumwiku Senior Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu tusubiri peoples power tuone nayo itatufikisha wapi..... Nakubaliana na ndugu yangu Patriote kuwa hizi ni maniance (mbwembwe or madoido) hamna political will humu!!!!!!!
   
Loading...