Kwanini CHADEMA inamuogopa Lowassa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CHADEMA inamuogopa Lowassa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by domokaya, Mar 1, 2012.

 1. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3,156
  Likes Received: 1,286
  Trophy Points: 280
  Washabiki na wanachama wengi wa CHADEMA hupata homa endapo watasikia Lowasa atashiriki kikamilifu katika ushindani wa kisiasa dhidi yao akiisimamia CCM. Hofu na homa hii ya CHADEMA dhidi ya Lowasa ya nini na inatoka wapi?
   
 2. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wapi Lowassa aliposhiriki kikamilifu akiisimamia ccm dhidi ya cdm na cdm wakamuogopa Lowassa?me najua mfano mmoja tu Lowassa aliisimamia c.c.m dhidi ya cdm,napo ni Arusha mjini,aibu aliyoipata yeye na chama chake na mtu wake wanaijua wenyewe!toa mifano hai minne tu kusupport kauli yako,otherwise utakua empty brain,domokaya mropokaji bila kufikiri!
   
 3. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  nani anamuogopa mwivii tu yule! halafu hii promo inakusadia nini? e.l ni mchafu totally. hasafishiki hata kwa stillwire yule
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yani we ni kiazi, hata ukulie marekari bado ni kiazi tu.
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kamuulize Chilligati na Msekwa watakueleza kwa nini tunamuogopa.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Sio kama wanamuopa Lowassa, ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi wa Lowassa.
   
 7. k

  kingungwe Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
   
 8. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  kwa sababu ni kinara wa uf**adi.
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  ccm ndio wanahangaika naye. hadi kumkalia kikao ikulu lakini wanachemsha.!
   
 10. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wote mtaji wao ni KANISA! Wanaogopa kugawa kura!
   
 11. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ni finiko aiseeee
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  CDM haiogopi m2, sema watu mnakuja humu na mawazo ya kichumba ambayo mmeyazoea fcbk.
   
 13. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Je wewe fisadi humwogopi? BASI HUNA UZALENDO KWA NCHI YAKO NA NI SAWA NA HAYAWANI ACHEZAYE NGOMA ASIYE IJUA.POLE
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kati ya watu wanaomkubali sana Lowassa ni Dr Slaa na F.Mbowe.
   
 15. e

  enk Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hujajua kuwa we mkubwa sasa kuropoka ni aibu mtu mzima jasa sehemu kama hii
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Dr Slaa aliwahi kusema EL si fisadi na hahusiki na Richmond.
   
 17. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hisia za kufikirika hizo!Lowassa hawezi kua hata na punje ya pandikizi ndani ya Cdm,watu wa c.c.m ndio anawasumbua mpaka mara uchaguzi arumeru urudiwe,mara tunavua gamba,mara tubadili katiba,mara rais mzee hatakiwi,mara vile,propaganda nyiiingi,mtu mmoja tu amenunua na kukirubuni 3/4 ya wanachama!yaani mtu mmoja kashika akili wote!sidhani kama Mwalimu angekuwepo na angekua m/kiti wa c.c.m hai ya kipindi kile kungekua na kuzunguka namna kwa kuogopana na kupigana majungu!c.c.m kwisha kwisha kabisa
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa! Hapa umemaliza kabisa!
   
 19. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu nime like hii
   
 20. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Idd Amin alishawahi kusema "watu wangu wananiheshimu sana kwa sababu nikiwa na jambo la kuongea naongea nikiwa sina nakaa kimya".JARIBU KUMUIGA.
   
Loading...