Kaza buti siyoi

Kaza buti siyoi

FILOMBE

Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
27
Reaction score
0
Habari wana JF. Nadhani sasa ni wakati wa kuelekea mpambano, wadau muacheni Siyoi asonge mbele.
Kaza buti kaka, pambana mbele.

Mnasemaje wadau?
 
Si ushasema ''akaze'' buti....sijui ''unalikazaje'' buti.....if you know what I mean
 
Tusimchukie mtu bila sababu kama unajua Jambo baya alilofanya liseme tuache wana arumeru wachague kiongozi wampendae
 
Back
Top Bottom