kuna taarifa hapa kupitia ITV kuwa kuna gari moja ambalo linasemekana ni la ccm na jingine la chadema yamepita yakifukuzana, huku gari lililokuwa likifukuzwa likisemekana ni la ccm,
na kuna...
1.Wametangaza kufunga kampeni siku moja kabla yaani wamefunga Ijumaa badala ya Jmosi
2.Wamekuwa na vikao vya siri na maafisa usalama na tume kwa siri,moja ya kikao ni kile kilicho kaliwa Snow...
Kama Mtz yeyeto yule naweza kutumia kigezo chochote kile katika kumkubali kiongozi mmja kati ya wanaotajwa na jamii kuweza kupewa nafasi ya kuongoza.Naomba kuweka wazi kuwa nasukumwa na nafsi...
baada ya kelele za magari na helkopata zilizoambatana na ahadi kemu kemu na matusi juu.sasa wamesha pata walichotaka,wanarudi zao dar na nyie mnaendelea na tabu zenu.siasa za bongo bwana? Natamani...
Mawakala wa CHADEMA katika uchaguzi Arumeru Mashariki wamezuiwa kuingia ndani ya vituo vya kupigia kura kwa zaidi ya saa nzima.
Joshua Nassari akifanya mahojiano na Antony Joseph wa Radio WAPO...
Ni leo katika kufunga Kapeni za udiwani kata ya Kirumba, unaotalajiwa kuwa na wageni kama Kabwe Zitto, Halima Mdee, Ancle Sugu etc.wote wakiwa wabunge wa Chadema, na ukiwa ni mwendelezo wa kumnadi...
Leo tarehe 1/4/2012 ni siku ya wajinga duniani. Inabidi kuchukua tahadhari kubwa sana wakati wa zoezi la kupiga kura kwani kwenye uchanguzi mdogo wa Igunga inaaminika mojawapo ya propaganda...
Katika hali inayoashiria hali si shwari kwa upande wa ccm, wameingiza wapiga kura feki katika kata ya vijibweni.
Taarifa za ndani kabisa zimedokeza kuwa kiasi cha kadi 1700 zimetengenezwa kwa...
Sijui mantiki ya CCM kupanga uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki kufanyika siku ya wajinga. Je watatangaza matokeo feki ili kuwafanya watu wajinga au kufanya ujinga wa kuchachua? Je wananchi wa...
Ndugu Wana Arumeru mmeona nakusikia mengi ndani ya kipindi cha wiki tatu na mmeshuhudia mengi ndani ya wiki hizo, mmepata kila aina ya viburudisho nikiwa na maana waimbaji tofauti wamekuja...
Tangu asubuhi ITV wanatoa updates za Uchaguzi hasa wa Arumeru East lakini TBC wanarusha vipindi vilivyorekodiwa including muziki wa Taarabu. Je television yetu ya taifa TBC wanataka wapate wapi...
Nimefurahishwa na mwamkoa wa wananchi katika kujitokeza kutumia aki yao ya msingi nikiwa miongoni mwao.nimefurahishwa na jinsi vijana wanavyoamasisha wenzao kwenda kupiga kura.
Nimetembelea zaidi...
na Mwandishi wetu
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zabron Yusuf, amemwagiwa tindikali na watu wanaoaminika kutumwa na chama kimoja cha siasa juzi usiku wakati...
Wana jf redio one na itv wanamatangazo ya moja kwa moja toka arumeru mashariki. Wanasema majina kibao ya hayaonekani
deus kibamba yupo na masaku studio dar
:scared:wanabodi nilisomaga hapa kuwa Mgobea Ubunge wa Jimbo la Arumeru East Bw. Sioi Sumari hajajiandikisha popote hapa Tanzania. kwa sababu sioi Mwenyewehakuwahi kueleza au kukanusha taarifa ile...
Wana JF jana katika kufunga kampeni za jimbo la AM mwenyekiti wa CDM taifa alisema kura zao zitalindwa kwa helcopter na tayari nipo hapa Mbuguni naona inatua vichakani na kuruka nadhani ndo kazi...
Chadema sasa kweli imeonesha ukomavu wake kisiasa, baada ya mmoja wa viongozi wake wa ngazi ya juu, Dokta W. Slaa kukiri kuwa sasa kazi ya kuishinda CCM ni ngumu.
Dk. Slaa amesema hayo leo...
Najua unapitia na huku pia, lakini nikushauri tu mkuu wetu wa polisi wa mkoa wa Arusha, kuwa kwa kauli yako uliyoito kwenye vyombo vya habari wakati ukielezea kuhusu hali ya usalama katika jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.