TBC = Taarabu, ITV = Habari za Uchaguzi. Ipi TV ya Taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC = Taarabu, ITV = Habari za Uchaguzi. Ipi TV ya Taifa?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by muhosni, Apr 1, 2012.

 1. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tangu asubuhi ITV wanatoa updates za Uchaguzi hasa wa Arumeru East lakini TBC wanarusha vipindi vilivyorekodiwa including muziki wa Taarabu. Je television yetu ya taifa TBC wanataka wapate wapi taarifa kuhusu chaguzi mbalimbali zinazofanyika leo?
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...tbc
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duh nimemsikia kamanda Andengenye akiongelea mambo ya uchaguzi na kwa bahati mbaya akasema walipata barua toka Chama na Demokrasia na Maandamano kisha akarekebisha akasema Chama cha Demokrasia na Maendeleo
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  TBC=TELEVISION FOR BWABWAS COMMUNITY

  ITV=Independent Television network
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sio kila mtu anapenda sarakasi za siasa zenu uchwara, TBC endeleeni na uzi huohuo wa kuzingatia ratiba yenu mliojiwekea
   
 6. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Duh,ratiba lazima iwe flexible kwa ajili ya matukio ya muhim kitaifa!
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hivi unajua inaendeshwa na kodi zetu? Televisheni ya Taifa ati.
   
 8. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hata ilipozama mv spice tbc walionyesha miss tanzania habari zote tulipata kupitia itv
   
 9. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Imeshakuwaga tbc watu wa pwani wacheza viduku!
   
 10. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naona ITV nao wamesimamishwa! Walikuwa wanawachongea wenzao lol
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  'umuhimu' ni subjective, wewe unaona siasa ni muhimu, mie naona siasa ni ubwege.
   
 12. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Alipanga kuwa-Lusinde Chadema na kurekebisha ili asilaumiwe lakini awe ametimiza nia yake
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  mtakubali tu mwisho wa siku, mnapondea pwani huku mnakimbia majaruba yenu huko uswekeni na unyarugusuni kuja darisalama #unafk
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  kodi ambayo hapa mie nsiependa sarakasi za siasa za kibwege nalipa..au nkuekee TIN # yangu?
   
 15. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Mkuu,ningegenda nikuulize yafuatayo:
  1:Level ya elimu yako ni kiasi gani?
  2:Huwa unasikiliza japo taarifa ya habari?
  3:Umewah japo kupiga kura uchaguz mkuu?
  4:Umewah kupata ajali na kujipigiza maeneo ya kichwani?
  Naomba majib halaf tuendelee.
   
 16. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  ITV - :A S thumbs_up:

  TBC - :A S thumbs_down:

  :bolt:
   
 17. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Unapenda sana taarabu wewe!
   
 18. c

  chatu junior Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC ni jina tu lakini ni ya magamba, hawawezi kuonyesha mambo ya arumeru mashariki, na hapo bado subiri muone vituko magamba
  watakapogalagazwa within 12 hours from now, ndo tutapigiwa za yule bi shoct 'muogo wa jang'ombe sitaulamba mwiko............
  Hiyo ndo TBC yetu bana mkitaka kujuaga zaidi mtafuteni D.T. Mando.
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  kama wewe unavopenda siasa za kibwege
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ombi lako limekataliwa, sina muda wa kupoteza kujibu maswali ya kijinga.
   
Loading...