Nampima lowassa kwa uchaguzi arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampima lowassa kwa uchaguzi arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by ARKADI MAKONA, Apr 1, 2012.

 1. A

  ARKADI MAKONA Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Mtz yeyeto yule naweza kutumia kigezo chochote kile katika kumkubali kiongozi mmja kati ya wanaotajwa na jamii kuweza kupewa nafasi ya kuongoza.Naomba kuweka wazi kuwa nasukumwa na nafsi yangu kumpima EL kwa matokeo ya leo Arumeru sababu anao uwezo mzuri wa kuongoza lakini ili niwe mfuasi wake nahitaji kuona kama anao uweza wa kunipa ushindi endapo nikiwa shabiki wake na uchaguzi Arumeru ndo kipimo katika hili!
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,226
  Trophy Points: 280
  Nakushauri usimpime EL bali pima vyama.Matokeo ya Arumeru ndio reflection ya 2015!. Chama kitakachoshinda ndicho kitakacho shinda 2015!.
   
Loading...