Athari ya siku ya wajinga na uchaguzi wa arumeru mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Athari ya siku ya wajinga na uchaguzi wa arumeru mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Baba C, Apr 1, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. B

  Baba C Senior Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Leo tarehe 1/4/2012 ni siku ya wajinga duniani. Inabidi kuchukua tahadhari kubwa sana wakati wa zoezi la kupiga kura kwani kwenye uchanguzi mdogo wa Igunga inaaminika mojawapo ya propaganda iliyotumika na MAGAMBA baada ya kuona maji yamefika shingoni ni kupita na magari na kuwatangazia watu waliokuwa wanaendelea kupiga kura kwamba mgombea wa CDM ametangaza kujitoa kwenye kinyanganyiro hivyo waipigie kura MAGAMBA.TUJIHADHARI NA PROPAGANDA ZA NAMNA HII HASA KATIKA SIKU HII YA LEO YA UPIGAJI KURA NA UTANGAZAJI MATOKEO ARUMERU MASHARIKI.
   
 2. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Watasema uchaguzi umeahirishwa
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Muda wa wajinga umeshapita' saa hzi ni muda wa great thinkers,muda wa akina lusinde na nchemba unaishia saa nne asubuh
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  so far so good. kura zinaendelea kupigwa bila mushkeli kwa mujibu wa matangazo ya moja kwa moja toka arumeru
   
 5. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Muda wa wajinga umeshapita' saa hzi ni muda wa great thinkers,muda wa akina lusinde,nape, nchemba na wale aliosema mkapa siku ýa uzinduzi wa kampeni arumeru mash, unaishia saa nne asubuh
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  aaah aah kumbe ilikuwa siku yao leo?
   
 7. B

  Baba C Senior Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haswa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,118
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Muda wao ushapita( wa wajinga) now tujikite zaidi ktk updates huko Arumeru!
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Swadaktah!!!!
   
 10. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  mkuu hivi wangapi wanajua kama mwisho sa 4?by the way watu wanaita "siku" ya wajinga sio "masaa" ya wajinga!cha muhimu demokrasia isiharibiwe na uwepo wa siku hii ya wajinga ambayo waliyoitunga ndio wajinga zaidi
   
 11. l

  local king12 New Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huku watu wanahiyo habari ya cku ya wajinga ogopa hadi bibi mzee anataka huyu mtu wa chama cha vidole viwili:peace::peace::peace:
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...