leo katika kampeni za mwisho jimboni arumeru kumeibuka minongo'no kwamba mama mzazi wa mgombea kupitia ccm ni mjaluo raia wa kenya.
Mwanzoni mwa kampeni tulisikia utata wa uraia wa mgombea huyu...
Wana Jf, mimi nipo Arumeru mashariki najaribu kutembelea baadhi ya maeneo kuangalia upigaji kura unaendeleaje. Hapa nipo eneo naambiwa linaitwa Nkwaranga. Upigani kura unaendeleo vizuri. Naomba...
Njia hii ndio iliyotusaidia sisi mwaka 2010 hapa Musoma.
Baada ya kumaliza kupiga kura,tulikaa mita 100,tukalinda kura zetu.
Hatukuogopa vitisho vya polisi wala usalama wa Kikwete.
Tukayabana...
Ktk hali isiyokuwa ya kawaida vijana wanaoaminika ni wa chama tawala(CCM) wakiwa ndani ya gari la mh. Diwani wamevamia kituo cha kupigia kura na kujipa kazi ya polisi ya kusimamia mistari na kutoa...
habari kutoka Monduli za Uhakika kutoka Monduli zinasema Mheshimiwa Edward Lowasa yupo hoi bin taaban. ile stroke imelipuka tena na hii sio ile yua kufanya kazi ngumu ila wajanja wamekula fedha...
Nakipenda sana kipindi cha akina Zembwela na Michael Baruti. Zembwela anapenda kusema kuwa "Yasiyowezekana nchi nyingine yoyote ile, Tanzania yanawezekana." Naomba kuongeza kitu, "Yasiyowezekana...
Ndugu zangu,
Yamepita majuma kadhaa sasa bila kuwasilisha fikra zangu kupitia Neno la Leo, Uchambuzi wa Habari au Tafsiri Yangu.
Kwa mwanadamu ni vema wakati mwingine kukaa...
Wakuu net bado inaleta longolongo lakini cheki clipp hii ambayo TBC1 nao wameionyesha lakini wakainyima rangi!!!!
Wakuu picha ani nyingi sana ila kwa kuanzia angalie hizo.
Ona sera...
Nimemsikia ati anawaomba wana Arumeru Mashariki wamchague Sioyi ili afute machozi ya kufiwa na baba yake......vilevile ati apate ubunge ili apate pesa ya kuitunza familia.......hivi ni akili gani...
Nimefanya mahojianoya kina kuelekea uchaguzi mdogo wa Jumapili na Katibu Mkuu wa CDM Dr. Wilbrod Slaa.
Dr. Slaa anatuelezea kinachoendelea Arumeru na vile vile utabiri wake waasilimia ya ushindi...
katika kile kinachoonekana kusoma upepo jinsi mambo yanavyoendelea Mkapa ameamua kurudi zake Dsm baada ya kuona upepo unavuma kusiko.
Mytake: Mkapa ajawahi kuwa mpambanaji
Pamoja na Roho mbaya na biase ya TBC kwa CDM leo imewatia aibu pale walipokuwa wanataka kuonyesha mkutano wa leo wakati BWM anaongea lakini kilichotokea badala ya kuonyesha mkutano wa ccm matokeo...
Siku ambayo Wana Arumeru wanapiga kura kumchagua mwakilishi wao bungeni,naamini muda wa mabadiliko umewadia tuelekee katika maendeleo chanya ya nchi yetu miaka hamsini ya uhuru imetufungua kujua...
ubunge ARUMeruRU CDM NA UDIWANI kirumba CDM, kiwira mbeya CDM na lizaiboni songea CDM KATA YA MSAMBWENI TANGA CUF KATA YA KULE BAGAMOYO CCM KATA YA DODOMA CJUI KATI YA CCM OR...
CCM mliwazidi kete chadema kule Igunga na michezo yenu yote waliisoma, sasa naamini kuwa zamu hii ni zamu ya cdm kufanya manuvaz ya nguvu. Nauliza wana ccm je mmejipangapanga vipi kulinda kura? Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.