Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

leo start tv wamepotezea taarifa inayohusu kampeni za chadema ze udiwani kata ya kirumba mwanza baada ya kuona maelfu ya watu walioudhuria tofauti na mkutano wa ccm ambao ulikuwa na watu wachache...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu nimepata habari za uhakika kutoka kwa watu kama wawili waliofanikiwa kupewa hela za magamba ili wauze kura zao lakini wamenihakikishia kuwa kipindi hiki hawadanganyiki ngo.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mzee huyu ni kama amechanganyikiwa ukimwambia mkulima wa arumeru, tz inaheshimika kimataifa what does that have do with him/her getting access to water, land, electricity or him having financial...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1.waliamua kuvamia shamba la mwekezaji eneo la sing'isi WAKIDAI ARDHI YAO,walikata migomba.Ile vurugu haita sahaulika. 2.Walipigana usiku na mchana kudai Diosis yao,walikata miti na kuzuia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
taarifa nilizonazo ni kwamba masanduku ya kura yameendelea kusambazwa huko arumeru mpaka mida ya saa mbili usiku.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mamia ya wakazi wa kingo'ri wameonekana wakipanda vibasi(daladala na costa) wakielekea kwenye mkutano wa chadema maeneo ya tengeru.waliobaki kwenye mkutano wa ccm ni maafisa usalama na mamluki...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Tanzania wizi wizi mtupu! Tanzania chini ya utawala wa sasa imeanzisha mtindo wa kula kwa zamu. Kila anayepata nafasi au cheo serikalini lazima ajitafutie jinsi ya kuitumia ili kujitajirisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari za kuaminika kutoka kwa jamaa angu ambaye ni msimamizi wa votuo vya kupigia kura amenambia wamegawiwa masanduku ya kupigia kura usiku huu na wameambiwa ni lazima walale kwenyw vituo vya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza magari ya CCM yamevamia mkutano wa CHADEMA ambao ni wa kufunga kampeni za uchaguguz wa Diwani kata ya Changombe mkoani Dodoma.Kilichotokea walipigwa mawe na kuvunjiwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwanasiasa mkongwe tanzania kingunge ngombale mwiru amepata aibu ya mwaka baada ya kuambulia zomea zomea alipokuja kiwangwa kuja kumnadi mgombea udiwani wa ccm kata ya kiwangwa. Mzee huyu...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Usiku mwema kwa wote na Arumeu Mashariki msisahau Kira yenu ni muhimu kwa hii nchi. Watu wote kapigieni Kira CDM. Peoplezzzzzzzzzzzzzzzz power. LOL.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari nzenu ndugu zangu​ Naomba wale waliopo huko Arumeru East, watupatie Coverage ya kampeni za CDM za lala salama leo zilikuwaje, kwasababu nilitegemea kusikia labda kupitia ITV, lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania,nimejaribu kutafakari sana siasa zetu miaka hii na hatma ya nchi yetu. Ukiuangalia uchaguzi wa igunga na ukija uchaguzi wa arumeru mashariki utagundua kuwa safari yetu kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mh.Ngereja amesikika usiku wa manane wa kuamkia leo katika villa park night clab akitangaza live kwamba wamchague Jackson Masamaki.Wakazi wa Kirumba wanadai mh.pamoja na kuhutubia mkutano wa...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
April Mosi, 2012 ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani na Mbunge katika Tanzania bara. Siku hiyo, kila April Mosi, ndiyo siku watu wanayosema uongo sana (mkubwa na mdogo), kwa kisingizio cha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ikitendeka haki,mambo yataisha bila tatizo ila mkipuuza na kuwaonea CHADEMA,Kitakachotokea hamtasahau...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Kundi la akina mama wamekutwa katika jengo la saccos Kiwira ambalo bado halijaisha wakiwa na makada (wanaume) watatu wa CCM. Wanachadema wamezunguka eneo hilo na tayari polisi wamewasili...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Anahangaika na disco wakati hatuna umeme. source. * tv
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Niko kwenye basi naelekea arumeru mashariki, kadi yangu ya kupiga kura ikiwa mfuko wa shati, tayari kwa kupiga kura kumpitisha kiongozi aliyebora.
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Kampeni zimeitimishwa,na mmesikia sera za vyama nane tofauti,lakini tunaomba vijana wenzetu mpigie CHADEMA.Coz vijana wakazi tupo CHADEMA,tunafanya kazi na inaonekana.
2 Reactions
0 Replies
829 Views
Back
Top Bottom