CHADEMA: Tunalinda kura kwa helcopter

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF jana katika kufunga kampeni za jimbo la AM mwenyekiti wa CDM taifa alisema kura zao zitalindwa kwa helcopter na tayari nipo hapa Mbuguni naona inatua vichakani na kuruka nadhani ndo kazi ya ulinzi imeanza rasmi
Nikiripoti kutoka mbuguni ni mimi Mgeni wenu wa JF
 
Kutakuwa na Helicopter mbili za chadema zitakazokuwa zinafanya doria.
 
Tayari moja iko hapa mbuguni wakati inatua kuna watu(vijana)walikataliwa kupiga kura ila ilivyotua wameruhusiwa na wanapiga
 
Wakati kikosi cha anga kinalinda usalama sisi tupo ardhini kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa, msiwe na wasiwasi so far everything is okey!!
 
Mgosi tunakutegemea ukiwa huko utakuwa repota mzuri wa mambo yanavyoenda. Tunataka kujua watu wamejitokeza kwa wingi? Je ni wazee peke yake kama wanavyodai magamba? Je kuna amani? Mwigulu bado yupo maana hajasikika sana recently? We ndio WA JIKONI wetu lakini hatupati vitu vya uhakika mgosi...
 
Naona CDM wanalinda kura kwa kutumia Mbwa koko!
Helow broda, naskia timu ya ccm imekimbia Arumeru amebakia baba mkwe tu, kwa kuwa uko kwenye payroll ya Nape hebu tujuze. Kuanzia kesho si utarudi kwenye majukwaa yako ya MMU na ChitChat kujifariji na kipigo...
 
Wana JF jana katika kufunga kampeni za jimbo la AM mwenyekiti wa CDM taifa alisema kura zao zitalindwa kwa helcopter na tayari nipo hapa Mbuguni naona inatua vichakani na kuruka nadhani ndo kazi ya ulinzi imeanza rasmi
Nikiripoti kutoka mbuguni ni mimi Mgeni wenu wa JF
Matumizi mabaya ya Sadaka ya Watanzania walio maskini
 
Misafara inayoonekana kitaa cha USA ni kina Mama na Wazee cjui vijana watukauja baadae sana kupiga kura na kulinda kama walivyoagizwa but now Wamama wa Meru wapo kwenye folen ya kumsulubu Mtu ambao wengi wao humu JF hawataamini.
Mgosi tunakutegemea ukiwa huko utakuwa repota mzuri wa mambo yanavyoenda. Tunataka kujua watu wamejitokeza kwa wingi? Je ni wazee peke yake kama wanavyodai magamba? Je kuna amani? Mwigulu bado yupo maana hajasikika sana recently? We ndio WA JIKONI wetu lakini hatupati vitu vya uhakika mgosi...
 
Vijana ni wengi sana hasa kituo cha miembeni Mikungani katika kata ya mbuguni,sasa hivi naenda makiba halafu Kikatiti
 
nchi hii ovyo sana'gharama kubwa kulinda kura ni za nini???kwa nini watanzania tusinyanyuke na kuchinja haya majizi ccm?????
 
Naona CDM wanalinda kura kwa kutumia Mbwa koko!

Rejao mbwa koko ni yule anayeona adui au mwizi lakini ana bweka huku mkia kauficha, sasa hebu niambie kati ya cdm na ccm nani mbwa koko - ona hii:

Serikali ya ccm inasema mafisadi ni hatari wakikamatwa nchi itayumba! Hapo mkia upo juu au? Viongozi wa cdm walidiriki kusimama hadharani na kutaja list ya vigogo wezi na mafisadi bila kumung'unya maneno mchana kweupe japo hawana serikali, vipi hapo mkia upo chini au juu? Mbwa koko nchi hii bwana Rejao wanafahamika ndio maana dhahabu, tanzanite, almasi, nk vinaporwa mchana kweupe. Samahani najua inauma kuyajua haya ila umeyataka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom