Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongozi watatu wa Chadema, mwenyekiti wa baraza la wanawake kigamboni, mwenyekiti wa vijana segerea na kiongozi mmoja wa vijana toka temeke wamekamatwa na polisi na wanashikiliwa katika kituo cha...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu,kwa nini kila chaguzi unafanyika siku ya Jumapili?Tume kwa kushirikiana na serikali wangepanga katikati ya wiki ila iwe siku ya mapumziko katika eneo husika.J2 watu waende...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Polisi ni wengi kuzidi hata idadi ya wapiga kura na wametanda kila mahala.Hali hii imeathiri hata muitikio wa wapiga kura.Mpaka sasa watu ni wachache sana kwenye vituo vya kupigia kura.Haijulikani...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
kuna tetesi kwamba Mbaraka dau ameanza mkakati mzito wa Kumngoa Bulj katika Jimbo la Uchaguzi Mafia. Mbaraka dau ameanza kugawa misaada kila kona. 2005-2010 kijana huyu hakutoa hata Chandarua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekaa nikafikiria sana jinsi ya tuko hili la viongozi kupigwa na watu waliojipanga kuwatoa roho, Je walikuwa hawana bodyguards? maana hali ambayo tumefikia ni kwamba hata tukikaribishana maji na...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Hii TV ya chama vp jamani mbona hawatangani angalau vituoni kura zimepigwaje iweje ITV iweze wao washindwe na wanatumia kodi zetu. Kirumba, Songea, Kiwira wamekula mweleka au ndo sababu. Tungojee...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu wazima na vitambi vyao kuwekwa chini ya ulinzi kwa "uchakachuzi" wa kutaka kuingiza kura "feki" kwenye kituo Meru East. Aibu, aibu yao na mkuu wa kaya milele. Huu ndio ukombozi wa kweli...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CDM yashinda udiwani Lizaboni Songea
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Watu wazima na vitambi vyao kuwekwa chini ya ulinzi kwa "uchakachuzi" wa kutaka kuingiza kura "feki" kwenye kituo Meru East. Aibu, aibu yao na mkuu wa kaya milele. Huu ndio ukombozi wa kweli...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nashangazwa na takukuru kuwa hakuna mtanzania aliye husika na ufisadi ktk ishu ya rada.chanzo ITV.wadau nawasilisha
1 Reactions
65 Replies
6K Views
Tuendelee kupeana matokeo kadri yanavyopatikana kupitia vyanzo mbalimbali,lakini tusichekelee kabla matokeo yote hyajatangazwa,je tunaikumbuka ila sinema ya Igunga?icje ikawa kama sinema,starling...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mama salma Kikwete amekumbwa na kashifa ya Kupora Ardhi ya Wapiga kura Mkoani Lindi, kwa kutumia madaraka ya Ikulu!!!!!!!!!! Salma Kikwete aichafua Ikulu *Atumia nafasi yake kujimilikisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Alhamisi, Machi 29, 2012, amepokea rasmi Ripoti ya Mwaka ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kutoka kwa Mkaguzi na...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanabodi nimeamua kuanzisha thred hii ili kupeana taarifa juu ya yanayojiri uchaguzi mdogo kata ya Chang'ombe manispaa ya Dodoma.Kifupi watu wana hamasa na wanajitokeza kiasi katika kupiga kura.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wanabodi Arumeru kumenoga mbaya........ushauri wa bure CCM hii ni dalili tosha kuwa wananchi wamewachoka. hakunaaaaaaga kama Nassari akunagaaaaaaa......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya habari kwa ufupi tbc
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KATIKA kile kinachoonekana kama jibu la kwa nini Tanzania ni nchi maskini licha ya rasilimali nyingi ilizonazo tena miaka 50 baada ya uhuru, wataalamu wa masuala ya uchumi kutoka China na Vietnam...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu nimeona ni vema kuwa na thread moja itakayotumika kuleta updates za uchaguzi huko arumeru east. Uchaguzi huu wa mbunge wa arumeru east unahusisha jumla ya kata 17 na vituo 327 vya kupigia...
11 Reactions
627 Replies
50K Views
Hii habari imenifikia kwa njia ya simu namba 0714350462 kutoka kwa mdau wangu wa karibu toka Arumeru mashariki. Yalikamatwa na vijana hodari wa CDM kwenye gari lililokuwa limebeba ndizi. Baada ya...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Kwei nimejitahidi kuelewa na nimevumilia sana, lakini naona uelewa wangu unafika mwisho. Nimemsikia kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu, nimemsikia tena kwenye taarifa ya habari ya ITV...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom