swali! HIVI SIOI SUMARI KESHAPIGA KURA?

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
:scared:wanabodi nilisomaga hapa kuwa Mgobea Ubunge wa Jimbo la Arumeru East Bw. Sioi Sumari hajajiandikisha popote hapa Tanzania. kwa sababu sioi Mwenyewehakuwahi kueleza au kukanusha taarifa ile basi naomba hiki kiwe Kipimo kwa Tume yetu "HURU" ya Uchaguzi. Yeyote mwenye taarifa za alipopigia kura aziweke hapa ikiwezekana na picha manake wagombea wanatabia ya kupiga picha wakati wakitumbukiza kura zao
 
Kapiga mbezi beach cheki michuzi blog
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom