Wana arumeru umuhimu wenu umekwisha.watu wanarudi zao Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana arumeru umuhimu wenu umekwisha.watu wanarudi zao Dar

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by kimboka one, Apr 1, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  baada ya kelele za magari na helkopata zilizoambatana na ahadi kemu kemu na matusi juu.sasa wamesha pata walichotaka,wanarudi zao dar na nyie mnaendelea na tabu zenu.siasa za bongo bwana? Natamani sana hii nchi ipate dikteta au jeshi lichukue nchi kama miaka 5 hivi ili tuwe na adabu maana hizi hila na utape wa siasa za Tz unatisha.Nataka kusema siasa zetu hazibadilishi maisha yetu bali ni vurugu za watu kusaka ulaji kwa hali na mali
   
 2. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa!!!
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  Mbona hueleweki mkuu
   
Loading...