1.Wametangaza kufunga kampeni siku moja kabla yaani wamefunga Ijumaa badala ya Jmosi
2.Wamekuwa na vikao vya siri na maafisa usalama na tume kwa siri,moja ya kikao ni kile kilicho kaliwa Snow Crest Ngulero
3.Mkutano wao wa leo King'ori ulikuwa wa siri lakini baadae ilivuja kwani jana walisha tangaza kufunga kampeni.
4.Wamemwaga polisi zaidi ya elfu 2 na wamejenga mahema pale USA River kana kwamba kuna vita vile...
Mh!!! Mimi sijui kama kweli unaifahamu siri. Kwa maoni yangu na mtazamo wangu, siri ni kile kitu ambacho hakuna anayekifahamu. Kama ccm wangelikuwa na vikao vya siri, hata wao wasingeweza kufahamu wala kushiriki. Na hadi wewe umefahamu, ni siri gani ambayo unaizungumzia???
Kuhusu vikao vyote ambavyo wamekaa na Rajab Kilavu, Dr. Silaa ameshatuambia Tengeru na kila kitu kipo wazi. Yote ambayo wao wanafikiri ni siri, sisi tunayafahamu, na kwa taarifa yako, leo tu Tengeru tulikuwa zaidi ya elfu kumi. hayo askari elfu mbili watafanya nini?
Kesho tunatoka Moshi, tunatoka Arusha, Tunatoka Babati, Tunatoka Karatu na tunakutana USA RIVER. Na wao wahamishie jeshi lote la wananchi, jeshi lote la polisi na askari wa CCP hapa moshi wote wahamie hapo USA river TUKUTANE TUONE NGUVU YA UMMA NA JESHI LA MAFISADI nani ZAIDI.
Wanajua kuwa watachakachua ndiyo maana wamekuwa na vikao hivyo vya ndani na kuandaa askari wote hao. Sasa kama wanafikiri kuwa ARUMERU ni IGUNDA, IMEKULA KWAO. KAKA TAARIFA NDIYO HIYO. KAMA UNAOGOPA, KAA MBALI NA ENEO LA TUKIO. HAKUNA UKOMBOZI AMBAO UMEWAHI KUTOKEA BILA DAMU KUMWAGIKA, SIYO DAMU YA KUKU AU YA NG'OMBE, NAMAANISHA YA BINADAMU.
VIVA CHADEMA.