vituko vya uchaguzi arumeru mashariki, magari ya ccm na chadema yafukuzana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vituko vya uchaguzi arumeru mashariki, magari ya ccm na chadema yafukuzana!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Naibili, Apr 1, 2012.

 1. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,680
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kuna taarifa hapa kupitia ITV kuwa kuna gari moja ambalo linasemekana ni la ccm na jingine la chadema yamepita yakifukuzana, huku gari lililokuwa likifukuzwa likisemekana ni la ccm,

  na kuna taarifa kuwa kwenye baadhi ya vituo kura zilizokuwa zikijaribu kupenyezwa zimekamatwa na makada wa chadema ambao wako doria.

  pia kuna taarifa kuwa kuna waandishi wa habari wamepata ajali na wapo hospitali kwa sasa, walikuwa katika harakati za kutafuta habari.
   
 2. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  kazi ipo
   
 3. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Kura zimekamatwa hadi kwenye chupa za chai, kifupi ni kwamba CDM wamejipanga vilivyo!
   
 4. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hamna lolote CCM ishashinda zamani, mchezo kwishne!
   
 5. bigcell

  bigcell JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  naomba amani itawale
   
 6. z

  zamlock JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  jaman mnasema kweli hayo mambo? Sasa inawezekana chadema ikalinda vituo vyote au ni wananchi wenyewe wamejitolea kulinda kura zao? Basi kama ndivyo ilivyo hakika ccm hawana lao lakin pia ulinzi uzingatiwe zaidi hata igunga ilikuwa hivyo lakini mambo yakaja badilika ghafla
   
 7. regam

  regam JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Taarifa zingine tinaziogopa maana hii tarehe imekaa vibaya(fulls day)
   
 8. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,680
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ukweli cdm wamejipanga vizuri tangu asubuhi vijana wameonyesha kuimarisha ulinzi.
   
 9. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,680
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ni wananchi wenyewe wameamua kulinda kura zao.
   
 10. R

  Ruppy karenston JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaficha kura mpaka kwenye mahotpot jamani aibu yao wezi hawa wauaji.
   
 11. S

  STIDE JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ee Mwenyezi Mungu simamia CHADEMA, inyooshee mkono wako wa baraka, waepushe na hila za shetani ccm!!!

  Semeni "AMENI"
   
 12. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mpendwa,

  hapo pekundu panapaswa kuwa ni "fools".

  ubarikiwe sana

  Glory to God!
   
 13. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hii ni aibu kwa CCM hata wakitangazwa washindi
   
 14. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Regam; fools day mwisho ni saa sita mchana. Mtu kama analeta habari za uongo kwa kisingizio cha fools day yeye ndo fool wa kweli kweli
   
 15. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  No wonder,maana uwezo wako wa kupambanua mambo umeishia hapo!ndio maana ulikua hauna hoja yenye mchanganuo zaidi ya ulichopost
   
 16. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii Habri ya Magari kufukuzana, imeripotiwa ITV; Hivyo ni ya Ukweli.
   
 17. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  mpaka kieleweke, LEO NI SIKU KUU YA ANGUKO LA CCM
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaaa nakumbuka tangazo la Voda Swala anamkimbiza Chui, jionee tofauti, magamba kwishney
   
 19. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu wananchi wamejitokeza kwa wingi kulinda kura zao.leo atumwi mtoto dukani
   
 20. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahahaha,tehetehe,sipatipicha 2015 magari yatakavyo fukuzana.
   
Loading...