Kamanda andengenye huu sio ustaharabu kwa jeshi la polis | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda andengenye huu sio ustaharabu kwa jeshi la polis

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by kitalolo, Apr 1, 2012.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Najua unapitia na huku pia, lakini nikushauri tu mkuu wetu wa polisi wa mkoa wa Arusha, kuwa kwa kauli yako uliyoito kwenye vyombo vya habari wakati ukielezea kuhusu hali ya usalama katika jimbo la Arumeru mashariki kuwa Chama cha demokrasia na maandamano kimeandikiwa barua kuwa kisitumie elkopta leo sio kauli ya mtu mstaarabu na sijui kama ulikusudia au ni ulimi ulikuteleza kwa bahati mbaya lakini inaonyesha ndilo lililoujaza moyo wako. kwa kukiona CHADEMA kuwa ni chama cha maendeleo na maandamano. mkuu hjaribu kupunguza ushabiki na kujiweka kwenye nafasi yako ya kuwaumikia wananchi na sio ccm na kama ulikuwa unatania basi nikukumbushe pia kuwa kwa nafasi yako na kwa hali ilivyo huko Arumeru utani kama ule aliusema mkapa kuwa alikuwa anamtani Nyerere sio mahali pake.
  Utapuuzia maneno haya kwani nimeyatoa mtu mdogo sana kwako unaweza kunifananisha na panya wa kule libya.
  Mkuu jua kuwa chama hicho ulichokiita cha demokrasia na maandamano bado hakijapata ushajili au muulize Tendwa kama anakitambua.

  ASante natumaini hutarudia tena
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata mimi niliisikia hiyo lakini alijirekebisha muda huo huo!
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimemsikia lakini alirekebisha, ingawa hakuomba radhi. Anyway, tumsamehe, he must be under relentless pressure.
   
Loading...