mawakala wote wa cdm msile wala kunywa chochote vituoni kwenu

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
kuna mabox ya biskut baadhi ya wasimamizi wamekuja nayo kama chakula,pliz do not eat anythng
 
Pia wawe na tochi za kutosha. Umeme wa CCM unaweza kukatika muda wowote!
 
Issue hapa si kula! Je, wameyakagua hayo makasha ya vyakula? Hata kama ni ya Chadema mawakala wa vyama vyote wakague yasijekua na karatasi za kuharibu kura!! Kuna wakati watu waliweka karatasi kwenye chips wakaingiza kwenye vituo lakini wakakamatwa. Ukiwaambia wasile ina maana unawatisha hata wasikague wakidhani hewa yake itawadhuru!! Duh!!
 
Mkuu una maana watu wapo kwenye swaumu!

Kuna kamtindo kakuwekewa madawa ambayo ukila hiko chakula tumbo linaanza kukusumbua halafu unaanza kuendesha (Kuharisha) kila baada ya dakika 5 ww ni toilet, hapo lazima uchakachuliwe
 
Sasa mnawaambia mkiwa kwenye keyboard, badala ya kuwapigia wahusika. Jamani ujumbe nimeupenda lakini hao mawakala watajuaje
 
issue hapa si kula! Je, wameyakagua hayo makasha ya vyakula? Hata kama ni ya chadema mawakala wa vyama vyote wakague yasijekua na karatasi za kuharibu kura!! Kuna wakati watu waliweka karatasi kwenye chips wakaingiza kwenye vituo lakini wakakamatwa. Ukiwaambia wasile ina maana unawatisha hata wasikague wakidhani hewa yake itawadhuru!! Duh!!

thats ryt!
 
Back
Top Bottom