Zitto afunga kazi/kampeni Kirumba Mwanza (Picha) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto afunga kazi/kampeni Kirumba Mwanza (Picha)

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Eraldius, Mar 31, 2012.

 1. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ni leo katika kufunga Kapeni za udiwani kata ya Kirumba, unaotalajiwa kuwa na wageni kama Kabwe Zitto, Halima Mdee, Ancle Sugu etc.wote wakiwa wabunge wa Chadema, na ukiwa ni mwendelezo wa kumnadi mgombea kiti cha udiwani kata ya Kirumba ndg.Dani Kaungu kupitia tiketi ya Chadema.Mpaka sasa watu ni wengi.

  NB:
  CCM Mwanza wanasema ni bora wapoteze Arumeru kuliko Kirumba.

  Wana jamvi mkumbuke kata ya Kirumba iko ndani ya Jiji la Mwanza, na ni moja ya kata zinazounda halimashauri ya jiji.

  Leo niko full kuwapa habari live kutoka katika viwanja vya Magomeni kata Kirumba.
  View attachment 50661 View attachment 50662 View attachment 50661 ZK+mz(1).jpg DSCN3089.JPG DSCN3099.JPG DSCN3113.JPG DSCN3115.JPG DSCN3093.JPG NAWASILISHA
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Thanks. Tupatie picha mkuu.
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Ninakufuatilia kwa makini sana.
  Nimewasiliana na wazee na mama zangu maeneo ya shule ya msingi kirumba, Kabuhoro, kigoto, furahisha na Nela wengi wameniahidi kuwapa urithi wa kura kwa mara nyingine vijana wao, Kesho wanatumbukiza CHADEMA.

  Kihistoria CCM iliishafukuzwa kutoka kwenye kata hiyo miaka mingi kabla CHADEMA haijakita mizizi hapo, kabla ya uchaguzi wa mwaka jana kata hii ilikuwa chini ya CUF na diwani aliyekuwapo alikuwa fundi baiskeli, hivyo matumizi ya pesa niliyoyasikia kufanywa na CCM ni muendelezo wa matumizi mabaya ya fedha.

  Hakuna mtu atarudia matapishi yake Kirumba, Ukipata nafasi jioni ya leo naomba ukanywe kilimanjaro ya baradiii pale Kilumba resoult kwa niaba yangu
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Nimepamiss mbaya mwanza mkuu!! Hope december is not that much far!!
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ungeanza na picha mkuu!! Hii live bila picha mkuu inatutoa udenda! Tunashukuru kwa kazi nzuri unayoifanya!
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  kazi nzuri mkuu
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Angalieni CCM wanaweza kuficha masanduku ziwani!! Lol, sipati picha, Viva viva CDM, jiji langu Mwanza!
   
 8. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  "Kama JK anasema hata yeye hajui matatizo ya watanzania ataweza vipi kuyatatua?" Mh. Kiwia
   
 9. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCM wote ni wasanii, wa kuwapotezea. Nani kawaloga? - Mh. Kiwia
   
 10. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Zitto jukwaani sasa, anaongea point nyingi hadi nashindwa niweke ipi niache ipi. Peopleeeessss
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Ikija kufika 2015 nina uhakika kila mtanzania atakuwa amevaa gwanda
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wacha niende zangu Kitongoji cha Mwembe Sangara ambapo CCM wanahitimishia kampeni zao nikafanye tathimini ya mwisho...Ila bila ushabiki CCM wanakazi kubwa sana Kirumba...Jamani Mwanza na ZITTO ni noumaaaaaaaa!
   
 13. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Ikija kufika 2015 nina uhakika kila mtanzania atakuwa amevaa gwanda


  Shime kwa makamanda wetu kokote kule mliko katika harakati za ukombozi wa Tanganyika yetu
   
 14. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  "Zitto is Power" ndio wimbo unaosindikiza maandamano
   
 15. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  zitto ni Rais 2015
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Well done cdm, well done zito!
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160

  Jina lako ukichanganya na post harufu ya ukabila inanuka!
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  CCM hakuna presidential material mpaka mmeanza kuwafagilia wa chadema!
  Kweli ccm hamna akili
   
 19. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  zK+mz+2.jpg ZK-Kirumba.jpg zK+mz+2.jpg zK+mz+2.jpg
   
 20. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nchi imeingia mageuzi makubwa kiasi ambacho sasa inakaribia mtu kuona aibu kusema jukwaani zidumu fikra sahihi za chama cha mspinduzi.
   
Loading...