Star TV Arumeru Updates... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star TV Arumeru Updates...

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by dazenp, Apr 1, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. dazenp

  dazenp Senior Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndugu Wana Arumeru mmeona nakusikia mengi ndani ya kipindi cha wiki tatu na mmeshuhudia mengi ndani ya wiki hizo, mmepata kila aina ya viburudisho nikiwa na maana waimbaji tofauti wamekuja, maandamano marefu ya pikipiki yakiwa katika misafara ya viongozi waliokuja kutembelea Arumeru mashariki....

  Tumesikia mengi sisi tulio mbali na kushuhudia video mbali mbali kwenye youtube zikihusu mikutano ya kampeni kama Za Livingstone Lusinde, Halima Mdee na Nassari mwenyewe ijapokuwa sijaona yeyote inayomuhusu kijana Siyoi...na sie tukapima na kujionea pumba ni zipi na mchele ni upi.....wahenga walinena na kusema Mungu na Maajabu yake ni Mengi...

  Basi Wana Arumeru nanyi leo ni zamu yenu kuchuja pumba na mchele na kumchagua yule ambaye atawawakilisha kwenye bunge kwa miaka iliyobaki...msidhihakiwe na Fulana, Khanga, Vitambaa na Bendera mlizopewa bali mtumie uwezo wa kiakili na kumuomba Mungu awape maono ya nani anafaa kuwa kiongozi ijapokuwa mimi naguswa sana na suala la kutengeneza barabara siku za kampeni na kumwagilia kwa malori ya fire ambapo siku nyumba ikiuungua hizo gari hazina maji....Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Arumeru Mashariki
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  atakayekuwa mbunge ni atayepigiwa kura nyingi na watu wa Arumeru Mashariki.

  Kwa hiyo matokeo yakitofautiana na Poll hii kutakuwa na maanadamano??
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  forecasting inakubalika
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yataanzia jf hadi kwa mzee wa totoz
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  haya, forecast njema.

  Yakitofautiana kusije kuwa na maneno ya 'imechakachuliwa, hata sehemu fulani tulitabiri mshindi ni fulani'

   
 6. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Masako, unakumbuka uchaguzi mkuu wakati Watangazaji wenu walipotaka kukusomea matokeo ya Urais toka majimboni ulikuwa unawahi kusema "hapo tulia! usitusomee hayo tupe tu ya Wabunge! kwanza". kitu hicho kilikupa doa kubwa sana.

  Leo matokeo yakikamilika yababdikwe kwenye kituo mara moja na utusomee. Hiyo ndo demokrasi na inapunguza makelele na hisia mbaya za kwamba kura zimeibiwa.

  Dada yangu Fatma, wewe usianze kusema kuwa mtu akipiga kura aende nyumbani. Utaratibu ni kutokuwa ndani ya mita 200 ukisha piga kura na pia kutofanya fujo yoyote. Watz wa leo ni wastaarabu wanaelewa maelekezo. Watu wasitishwe bali wawe huru kuchagua wanayemtaka na wawe tayari kuyakubali matokeo kushindwa au kushinda!


  Watu wanawasikiliza dunia nzima. Kama Wana habari mliobobea hamna haja ya kuwa biased watch your words my friends.
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Huwezi kuwapata wajinga hapa jf labda ujaribu magamba
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ITV ni wanafiki tu!ni vizuri tukapata updates za wanajf.
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Masako huwa ananikosha hasa ktk update za matokdo japo yeye ni gamba
   
 10. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Masako wengi tulimshangaa kwa alivyokuwa akifanya kupitia kwenye Luninga 2010; alijua kuwa mambo yangearibika endapo angewaruhusu waandishi kuripoti matokeo ya uraisi moja kwa moja kutoka kwenye vituo vya kupigia kura bila kupitia kwenye kikaango kwanza. Ngoja tuone kwa leo utaratibu utakuwaje kwani ninachoamini Masako bado ni yule yule.
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,572
  Likes Received: 18,393
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nafuatilia ITV live, pia TBC wako live ila wanapokezana na studio.

  Kwa maoni yangu, Reinfred Masako anaanza kuzeeka!, amesema kuna vyama 18 vilivyoandikishwa na vyote vina haki sawa, kiusahihi, kuna vyama 21 vilivyoandikishwa, na hivyo vyama 19 ndivyo vilivyosajiliwa. Amechanganya kati ya kuandikishjwa na kusajiliwa!. Pia ameitaja idadi ya wapiga kura laki moja plus akiwaita ni wagombea, akimaanisha ndio wanaotarajiwa kupiga kura, wagombea ni 8!.

  Ukiondoa hizo teleza ulimi ndogo ndogo, ITV are doing a good job tofauti na TBC, ITV studio wanaripoti kwa sauti tuu bila picha, TBC wao, wamepeleka OB Arumeru ikiongozwa na Mtangazaji Elisha Elia ikiwa ni picha na sauti!.
   
 12. dazenp

  dazenp Senior Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Maana ya kuforecast ni kujua,which is the direction of many......mbona unaonekana kama hutaki kukubali ukweli @kongosho..majibu ya hapa ni predictions tuuu ukweli upo kwenye karatasi arumeru mashariki....but the idea is who really people think will win.....Unayosema nakuelewa na unachomaanisha is like Chadema are suspected winners ila watadhulumiwa if that is obvious then we know for sure Chadema are strong and wanakubalika the same applies to CCM likewise.....so predictions are allowed just like in a Football game
   
 13. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  bado hawako huru si mnakumbuko ambavyo walipigwa stop kutangaza
   
 14. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Upigaji kura umeanza tangu saa moja na mwisho wa kupiga kura itakuwa saa kumi na moja jioni. Uchaguzi una waangaliza wa ndani na nje, kulitokea rabsha baada ya baadhi ya mawakala wa chadema kukataliwa kwenye vituo vyao.

  Kuna jumla ya vituo 327. Tutaendelea kujuzana kwa kadri taarifa zinavyozidi kudondoka.
   
 15. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tutakuletea matokeo na zoezi la UPIGAJI kura huko arumeru Mashariki na Kama uko arumeru tujulishe yanayotokea huko katika Maeneo tusipofika kwa faida ya watanzania nasi tutawafikishia kupitia luninga
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Pamoja Kamanda!
   
 17. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Dats gud
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Asante,
  ila msitoweke hewan na ku2zuga na matatzo ya KIUFUNDI
   
 19. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Pia radio one wamejiunga na itv so unaweza ku tune radio one
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Asante
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...