Kesho siku ya wajinga. Je CCM watafanya ujinga kuchakachua?

Status
Not open for further replies.

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Sijui mantiki ya CCM kupanga uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki kufanyika siku ya wajinga. Je watatangaza matokeo feki ili kuwafanya watu wajinga au kufanya ujinga wa kuchachua? Je wananchi wa Arumeru watachagua mkwe wa Lowassa ambaye alikuwa amekataliwa kwenye mchujo wa kwanza au ukombozi? Time will tell.
 
Hii post yako umeituma leo tar 1/4/12 saa 05:42!
Ngoja tusubiri hiyo kesho tarehe 2 ambayo according to wewe ndio uchaguzi unafanyika..ambayo ni sikukuu ya wajinga!
 
Hii post yako umeituma leo tar 1/4/12 saa 05:42!
Ngoja tusubiri hiyo kesho tarehe 2 ambayo according to wewe ndio uchaguzi unafanyika..ambayo ni sikukuu ya wajinga!

halafu siku ya wajinga mwisho saa sita mchana. hivyo wakati wa kutangaza matokeo itakua imepita.
 
halafu siku ya wajinga mwisho saa sita. hivyo wakati wa kutangaza matokeo itakua imepita.
Kweli nimeamini majina yanaendana na jinsi mtu alivyo! Jamaa anajiita "mpayukaji" na kweli leo amepayuka,
 
Tatizola watu wengine ni kudhani watu wote tunaishi Afrika Mashariki au Ulaya hataAustralia. Kwa mujibu wa muda wa kwetu hapa ni saa 4.06 hiyo kesho mmeipatawapi kama nanyi siyo kupayuka?

Tatizola watu wengine ni kudhani watu wote tunaishi Afrika Mashariki au Ulaya hataAustralia. Kwa mujibu wa muda wa kwetu hapa ni saa 4.06 hiyo kesho mmeipatawapi kama nanyi siyo kupayuka?
Asante umewapata walikuwa wanajifanya wao wanajua kumbe wajinga, ngojea tu kuna wengine utawapata.
 
Tatizola watu wengine ni kudhani watu wote tunaishi Afrika Mashariki au Ulaya hataAustralia. Kwa mujibu wa muda wa kwetu hapa ni saa 4.06 hiyo kesho mmeipatawapi kama nanyi siyo kupayuka?

Na huu ujumbe unawapatia watu wanaoishi huko? Huko ulipo ndio uchaguzi unafanyikia? Na mimi nimeishi sana huko, but when it comes kwenye kudeliver a message lazima ifike kwa walengwa, na kwa mantiki na kwa muda uliokusudiwa! Kama umeshindwa kufanya calculation ya time difference ungeomba usaidiwe kabla ya kupayuka!
 
[FONT=Times
New Roman][/FONT][FONT="Times New
Roman"]Tatizola watu wengine ni kudhani watu
wote tunaishi Afrika Mashariki au Ulaya hataAustralia. Kwa mujibu wa
muda wa kwetu hapa ni saa 4.06 hiyo kesho mmeipatawapi kama nanyi siyo
kupayuka?
[/FONT]
[FONT=Times New
Roman][/FONT][FONT="Times New
Roman"] [/FONT]
[FONT=Times New
Roman][/FONT]

kwani huo uchaguzi unafanyika huko uliko?
 
Asante umewapata walikuwa wanajifanya wao wanajua kumbe wajinga, ngojea tu kuna wengine utawapata.
Usipende kurukia tu vitu!
Jaribu kushirikisha ubongo kidogo, tumia dk chake kuthink kabla ya kusupport kitu!
 
Na huu ujumbe unawapatia watu wanaoishi huko? Huko ulipo ndio uchaguzi unafanyikia? Na mimi nimeishi sana huko, but when it comes kwenye kudeliver a message lazima ifike kwa walengwa, na kwa mantiki na kwa muda uliokusudiwa! Kama umeshindwa kufanya calculation ya time difference ungeomba usaidiwe kabla ya kupayuka huu ***** wako!
Wewe ndio hamnzo kweli unafikiri JF ni kwa Tanzania tu, maana saa hizi US bado ni Jumamosi tarehe 31/3 usijidai kila kitu kujua.
 
Eurekaaaa!!!

Ndiyo nimegundua, Feedback, Precise pangolin na Kookolikoo ni wajinga. Na si muda mrefu watapanda daraja kwa kuweza kuutetea ujinga wao. Daraja lao jipya litakuwa upumbavu.

Vinginevyo ni mjinga mmoja anayetumia IDs tofauti.
 
Eurekaaaa!!!

Ndiyo
nimegundua, Feedback, Precise pangolin na Kookolikoo ni
wajinga. Na si muda mrefu watapanda daraja kwa kuweza kuutetea ujinga
wao. Daraja lao jipya litakuwa upumbavu.
Vinginevyo ni mjinga mmoja anayetumia IDs tofauti.

mjinga mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom