Chadema sasa chakomaa kisiasa- Arumeru Mashariki!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema sasa chakomaa kisiasa- Arumeru Mashariki!!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by T. 2015 CCM, Mar 26, 2012.

 1. T

  T. 2015 CCM Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema sasa kweli imeonesha ukomavu wake kisiasa, baada ya mmoja wa viongozi wake wa ngazi ya juu, Dokta W. Slaa kukiri kuwa sasa kazi ya kuishinda CCM ni ngumu.
  Dk. Slaa amesema hayo leo alipokuwa akizungumza na Viongozi wenzake katika kikao cha tathmini kilichofanyika katika eneo la wazi la Mini Market iliyo karibu na Rose View katika barabara ya Dik Dik, Leganga, katika mji wa USA RIVER, wilayani Arumeru, mkoani Arusha.
  Baada ya kujiridhisha kuwa sasa ushindi haupo, katika kikao hicho, wameafikiana kwa pamoja kuanzisha siasa za uzushi katika mitandao na magazeti, mbalimbali nchini, huku wakiweka bajeti ya sh. Milioni 11, kwa ajili ya kazi ya kuvigiribu vyombo hivyo vya habari kuandika habari hizo. Mambo mengine ni pamoja na kumwagiza Ndg. Rwakatare kushirikiana kwa karibu na Mbunge wa Arusha Mjini kwa ajili ya kuandaa makundi ya vijana kutoka mkoani Kilimanjaro, na Arusha ili kujirundika siku ya kupiga kura na baada ya zoezi la kupiga kura, ili kufanya fujo zitakazowezesha matokeo kutotangzwa, na baadae kuvurugika kabisa.
  Aidha wamekubaliana siku hiyo kuhakikisha kuwa jengo la Halmashauri ya wilaya ya Meru, linapata misukosuko ya kutosha kupitia vijana wao hao.
   
 2. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Kwa nini watu wengine mnapenda kujidhalilisha kiasi hiki? who is going to buy this craaap!! Hiyo inaweza kutokea kwa CCM, kwa kuwa ndiyo mambo mliyozoea kuyafanya kusema uwongo, hata Rais wa nchi anadiriki kusimama hadharani kudanganya, mawaziri wasema uwongo, wabunge waongo, mpaka ww sijui mshika bendera nawe mwongo tu. Inasikitisha tumekuwa Taifa ambalo kwa sasa kuamini habari yoyote unayoisikia au kuisoma kwenye chombo cha habari ni utashi wako tu. Sijui tunaenda wapi.
   
 3. m

  mbanguli New Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  km una cha kuongea kaa kimya co lazima uongeeeeee.
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  chanzo cha taarifa??
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kwanza huyu gamba Id yake kaiga avatar moja Kali sana ya mwana CDM mmoja humu jamvin hii anaonyesha hana ubunifu na fikra zake zipo kwenye masaburi
   
 6. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  Ndugu mtoa mada mbona uko uchi?
   
 7. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Acha kuiga name za watu humu jamvini
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Umeonyesha ulivyofilisika kisiasa.
   
 9. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wewe ndiyo muasisi wa waraka feki unaotumiwa na vilaza wenzio.Ni mwendo wa mchakachaka tu.mpe salamu sioi
   
 10. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mods tuweke kitufe kilichoandika ***** mtu akiandika pumba tumgongee!
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  CCM hujitekenya na kucheka wenyewe.
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Haya ni mawazo mavi.
   
 13. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  umetumwa na kama hujatumwa kichwani hazitoshi....subiri muone wameru watawafanya nini
   
 14. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,123
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Umerogwa?
   
 15. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Yaani kikao cha tathmini kwenye eneo la wazi?acha pumba zako,hakuna kikao chochote kilichofanyika,huu ni uzushi na uwendawazimu.Nyie ccm ndio waleta fujo,mmejaza vijana wenye mapanga,kama yule aliyeingilia msafara wa CHADEMA jana eneo la Leganga akiwa na panga na mabomu
   
 16. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  cooked,hakuna wenye dhamana ya kutangaza ushindi kabda wananchi hawajaamua
   
 17. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Kumjadili huyu mjinga alie jivua nguo kutasabisha na sisi kuanza kuvua viatu, halafu socks..... Matokeo yake tutafanana nae. Dawa ni kuacha mfereji wa chooni utiririshe maji kwenye tenk la uchafu (magamba).
   
 18. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,393
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280

  nadhan hujamuelewa mtoa mada, kuna kitu anakimaanisha apa, hii naona ni vice versa be careful before kubisha
   
 19. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  una uhakika na ulichokiandika???
  Au umekurupuka???
  Au umetumwa???
   
 20. d

  davidie JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waishabikiao ccm ni sawa na kopo la chooni ambalo ukibanwa unalihitaji na kulibeba kwa unyenyekevu maji yasimwagike na ukimaliza kujisaidia unalitupa chooni au chini likigalagala, ndio wananchi mnavyotendewa na ccm mkihitajika mnabebwa kwenye maroli mkutano ukiisha mnalalama baada ya kutelekezwa viwanjani
   
Loading...