Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katka taarifa ya TBC1 amehojiwa kamanda anaye simamia uasalama arumeru kuhusu milio ya risasi inayo sikika hovyo akakili kwa kusema vijana waendesha pikipiki za bodaboda ndo wanafanya fujo na...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa ujumla siki zote Mungu ndiye anayesimamia haki.Kiwira diwani ni wa CHADEMA.Mwanza pia CHAEDEMA kidedea.Arumeru pia mambo yanaenda vizuri,.CCM wamepagawa..Mwenye matokeo ya jumla Kutoka kwenye...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
CUF Wameshinda kata ya msambweni tanga mjini, wametetea kata hiyo.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
1. Kutoka ndani ya wana-usalama, Wana CCM wamejipanga kwa kila hali ili kuchakachua matokeo na kisha Sumari kutangazwa mshindi. 2. Kuna magari yanaelekea Moshi standby kwa ajiri ya Sherehe, police...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu kwanza salaam! Ninafuatilia kwa karibu sana matokeo ya chaguzi hizi ukianzia ngazi ya kata na jimbo la Arumeru! Kimsingi ninaona ishara mbaya sana kwa CCM! Kiukweli hili linatakiwa liwe...
0 Reactions
3 Replies
901 Views
Habari waungwana ? I must be honest with myself, kwa kweli leo nimeshangazwa sana na mtangazaji wa TBC1 Habari ya saa 1 asubuhi kwa kitendo chake cha kujitabanaisha na chama makini kwa kuamua...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Kuna kiasi cha magunia ya chakula cha msaada kutoka Hifadhi ya Chakuka tawi la Arusha kuelekea Arumeru Mashariki. Chakula hicho kimepelekwa huko masaa machache kabla ya uchaguzi mdogo siku ya...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
seem like cdm are winning
0 Reactions
0 Replies
1K Views
polisi wanapiga mabom mudahuu maeneo ya usa eneo linalotumia kujumuisha matokeo.lengo nikutawanya watu waliokua wakielekea halmashauri kusubiri matoke.pia watu kadhaa wameumia kwenye vurugu hizo...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Miaka yote hiyo ccm walikuwa wapi? kuleta maendeleo kata ya Kirumba na Jimbo la Arumeru kama wana Meru wanataka kuona yaliyowapata wanaigunga kesho wasifanye makosa ya kuchagua ccm, Watanzania...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni ndo nionanvyo muda huu arusha mungu ibariki chadema mungu wabariki wana arumeru
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sauti ya Msimamizi wa Uchaguzi inaonekana kuwa CCM wanaleta vurugu katika eneo la Embaseni baada kuona vijana wa CDM wapo ngangari kulinda kura... Imelazimu polisi kuingilia kati. Alikuja mama...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Jamani mwenye matokeo kamili ya arumeru mashariki atujuze maana huku niliko wamekata umeme hawa wasanii
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Nimeambiwa udiwani kata ya Lagangabilili-Bariadi CCM wameibuka kidedea dhidi ya UDP : Chadema hilo ni jimbo la kufuatilia maana John Cheyo kwishney kama upinzani mkiendelea kumwachia jimbo...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Mimi ni kijana mdogo lakini kwa muda mfupi nilioishi nimekariri kwamba DAMU haimwagiki ardhini buru! Italipwa tu kwa kipimo hichoicho. Mbunge anayewafungua raia macho kuachanishwa nyama kwa panga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Mwandishi wetu - Imechapwa 28 March 2012 KATIKA kampeni za uchaguzi mdogo jimboni Arumeru Mashariki, imebainika kuwa tabia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ya kuuza na kununua uongozi, imevuka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sun, Apr 1st, 2012 Tanzania | Sun, April 1st 2012 When tenants make billions at the expense of landlords, a tale of other side of Tanzania's lucrative mining sector sThe mining sector...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Habari wana JF, mimi naomba kwa wote wenye Mapenzi mema na chaguzi zoote zinazofanyika leo bila kujali itikadi za vyama tujumuike katika thread hii kuombea chaguzi hizi. kwa kuanza naomba Mungu...
2 Reactions
2 Replies
827 Views
Magamba wametetea kata Ya Chang'ombe mjini Dodoma.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom