Mwita Maranya
Reaction score
120

Profile posts Latest activity Postings About

 • Mwita Maranya
  Mambo yamekuwa mengi lakini mazuri sanasana bila shaka. Nipe deal best angu
  Nivea
  yani mambo yamekuwa mengi sanasana nakutakia kila la kheri
  Nivea
  mtaani kwangu kibada au? habari yako lakini u mepotea sana
  Mwita Maranya
  @Bobliko, sijafahamu hii issue ya TANROAD umeniandikia kwa sababu gani lakini nataka nikufahamishe kwamba wewe ndiye unahitaji kufanya utafiti. Kwa kuanzia tu tukumbushe Efraim Mrema(aliyekuwa CEO wa TANROADS) alikuwa anapokea kiasi gani?
  Baada ya hapo ndipo ushuke kwa wakurugenzi!!
  B
  cio kweli kuhusu TANROADS HAKUNA MKRUGENZI ANAYEPOKEA ZAIDI YA MILIONI 5.FANYA UTAFITI VIZURI
  Mwita Maranya
  JG,
  Salama kabisa mkuu.
  Pamoja sana.
  MM.
  jouneGwalu
  Kiongozi inakuwaje??
  Naamini unaendelea shwari na utumishi...
  Nimefurahi kujua kuwa uli-visit mtaa wangu..
  Majaaliwa sana katika kujenga Taifa hili teule.

  jG
  M
  hey.natumai kwanguvu ya bwana uneendelea vyema.
  WiseLady
  Nimekuja tena mwinjilisti,ubarikiwe sana...........:evil:
  Mwita Maranya
  Ahsante sana my WL kwa kunijulia khali.
  Mie sijambo, ila Al haji si limekwisha expiry!! au unaogopa lisije likalipuka!!??
  Thanx kwa kuniombea,
  Be blessed.
  WiseLady
  Nimepita hapa kuksalimia mkuu Al haji......:pray:
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top