Kwanini tbc haitangazi matokeo ya arumeru au wanajua aibu yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini tbc haitangazi matokeo ya arumeru au wanajua aibu yao

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by dosama, Apr 1, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii TV ya chama vp jamani mbona hawatangani angalau vituoni kura zimepigwaje iweje ITV iweze wao washindwe na wanatumia kodi zetu. Kirumba, Songea, Kiwira wamekula mweleka au ndo sababu. Tungojee kesho magazeti yao UHURU, JAMBO LEO na HABARI LEO YATAKAVYOANDIKA
   
 2. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Tv ya magamba!hahahaha!
   
 3. k

  kuzou JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukata,posho za kupeleka watu huko
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wanaonyesha bango
   
 5. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  HATA WAKIBANA MATOKEO YA ARUMERU HAYA HAPA
  Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, zilizoharibika 0.

  Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93,

  Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

  Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

  Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

  Enguseni a CHADEMA 114 CCM 62

  Leganga CHADEMA 142 CCM 26

  Magadirisho1 - CHADEMA 116 CCM 37

  Magadirisho2 - CHADEMA 111 ccm 37

  s/m leganga - CHADEMA 142 CCM 26

  Majiachai A,B,C,D,E CHADEMA 573, CCM 276

  Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,

  Ofisi ya Kata Makiba CCM 107, CHADEMA 127,

  Shule ya Msingi Miembeni namba 01, CCM 103, CHADEMA 96

  Kikatiti CHADEMA 104 CCM 62

  Tengeru chuoni CHADEMA 114, CCM 24

  Tengeru hospt CHADEMA 220, CCM 40

  Kikuleto ofisini CHADEMA 104, CCM 84

  Makumira A = CHADEMA 118, CCM 42

  Makumira B - CHADEMA 100, CCM 42

  Makumira C - CHADEMA 92, CCM 50
   
 6. c

  ckcacana Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ubinafsi ndio tatizo.
   
 7. w

  wakomong'we Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Saafi sana makamanda,cdm ni tumaini jipya
   
Loading...