Kikwete anapoomba Msaada kutoka Ulaya kuwakamata wala rushwa, anamaanisha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete anapoomba Msaada kutoka Ulaya kuwakamata wala rushwa, anamaanisha nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STK ONE, Mar 30, 2012.

 1. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwei nimejitahidi kuelewa na nimevumilia sana, lakini naona uelewa wangu unafika mwisho. Nimemsikia kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu, nimemsikia tena kwenye taarifa ya habari ya ITV ya saa tano. Kikwete anaomba msaada kutoka nchi za ulaya na Marekani kuwakamata wala rushwa. sijaelewa ni rushwa ya aina gani?

  Anaomba fedha kwa ajili ya kuwakamata akina Rostam, Chenge, Kalamagi, Mramba, Lowasa na wengine wengi? au anaomba fedha kwa ajili ya kuwakamata askari polisi wanaokula rushwa barabarani, au mahabusu? au anatafuta fedha na msaada wa kuwakamata mahakimu wanaokula rushwa mahakamni? au anaomba msaada wa kuwakamata Madaktari wanaotoa huduma kwa fedha ilihali zilitakiwa kutolewa bure????? Kikwete anaomba msaada kutka nje ya Tanzania kwa ajli ya kuzuia rushwa, TAKUKURU NA HOSEA WAKE wanafanya nini? Jeshi la polisi linafanya nini? Yaani tunakuwa tegemezi hata kwa hili? Mbona aibu sasa. Yaani watu watupe msaada wa net kwa ajli ya kuzuia mbu, watupe na fedha kwa ajili ya kuwakamata wanaochakachua neti hizo???? Mbona aibu jamani. Au mimi sijaelewa anamaanisha msaada wa nini??? Hebu nijuzeni mwenzenu....!!!
   
 2. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Angeomba msaada wa kujikamata ningemwelewa. Au aombe masada kwa Salma kumkamata yeye na Ridhiwan. Mambo mengine yanachekesha kiasi cha kutoa machozi.
   
 3. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  labda anamkamata mla rushwa yup??? Kama TAKUKURU inathibitisha hakuna dalili za rushwa katika ununuz wa Rada, tenda ya Richmond..... Basi mpaka hapo nadhani tanzania rushwa hakuna kabisa..
   
 4. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mleta mada nadhani masikio yako yana makengeza
   
 5. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Katba mpya ije mapema na kipengele cha uraia wa nchi mbili kiwepo ili watu tuwe amphibìans.Ni aibu kuwa na mkulu wa aina hii,kama rais anakuwa na upeo wa namna hiyo,lusinde je,nape,wassira! Raia wa arumèru sasa? Mh?! Kazi ipo!
   
 6. R

  Ruppy karenston JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anasikitisha sana
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kikwete anaamini kuwa wazungu ndio watakaotuletea maendeleo. Anaamini kuwa Ulaya na Marekani ndio viongozi wetu.
  Umesahau pale alipomwomba Hilary Clinton meli ya kusaidia kulinda mwambao wetu? Yaani hata uwezo wa kununua meli yetu wenyewe chini ya Kikwete hatuna. Kila kitu ni lazima tupewe na wazungu. Huo ni zaidi ya ukoloni mamboleo. Hata viandarua tu inabidi tuletewe na wazungu.
   
 8. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kikwete anadhihirisha ule ugonjwa wa ulegelege na umbumbumbu unazidi kumuandama! Wala rushwa wamemzunguka, yeye mwenyewe ni sehemu yao leo anaombwa kusaidiwa kukamatwa? Lau nijiaminishe hotuba yake haikuandikwa bali kaandika mwenyewe leo.
  Kweli ujinga wa mtu hufahamika pindi afunguapo mdomo
  NB
  Asije sema alidanganywa, hiyo hotuba kaandika mwenyewe
   
 9. c

  collezione JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Duh...kama ni kweli basi hiki kichekesho cha mwaka.
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkuu umeelezea kama vile kila mtu hapa JF aliangalia Taarifa ya Habari ITV!
  Hebu tuambie:
  1. JK aliomba msaada lini, aliomba msaada nchi gani specifically? Usidai tu "nchi za Ulaya na Marekani!"
  2. Je, aliombaje msaada? Kupitia Ubalozi wa nchi gani?
  3. Je, aliomba msaada wa Sh napi?
  4. Je, alitaja specifically kuwa fedha hizo ni kwa ajili ya kuwakamata Chenge, Rostam, nk au hayo ni mawazo yako?
  5......
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280


  Mkuu umesema yote katika marais wote JK ni funga kazi kwa u-comedy!
   
 12. j

  jjjj Senior Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  STK ONE.
  Mimi pia nimeona nimesikia kisha nikafikiri labda kuna kitu kimewekwa kwenye TV yangu peke yake ili kubadilisha KILE KINACHOZUNGUMZWA,ni ngumu kujua yale yaliyosemwa kuwa yalitoka kwa mkuu wetu mwenye dhamana kwa mujibu wa katiba yetu ambayo yeye aliapa kuilinda na kuitetea.mi bado naendelea kuamini kuwa serikali yetu haiwezi kumkamata mtu sasa si itamuudhi.
   
 13. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeomba kueleweshwa, kama yangu yana makengeza, nashindwaje kuamini kama masikio yako hayana matege???
  Correct me with evidence and reasons. Be a really GREAT THINKER.
   
 14. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kulikuwa na mkutano wa watu kutoka nchi ya ulaya na Marekani jijini Dar. Nafikiri ni kuhusu masuala ya rushwa. JK ameomba msaada wa nchi hizo kuwakamata wala rushwa. ITV, HABARI YA SAA MBILI NA SAA TANO JANA 30/03/2012
   
 15. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kusaidia kutoa elimu ya uraia. Nafikiri atakuwa amekuelewa.
   
 16. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  The guy is suffering from what is known as dependency syndrome; his mindset is tuned to believe that he cannot accomplish anything but others will do things for him!! This country is endowned with abundant natural resources and trained manpower as well, but because of his lack of vision and nepotism he has failed to deliver to his people in spite of the goodwill that he had when he came to office. Hawa wazungu anaowaomba msaada kuhusu kupambana na rushwa sio mambumbumbu kwani wanajua fika kuwa yeye mwenyewe ni mdau wa rushwa na kuwa wadau wa hiyo rushwa anayoipigia kelele ndio waliomuweka madarakani hivyo basi huwa wanamsikiliza na kumuacha kama alivyo!They know that he is also a criminal.
   
 17. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280

  Huenda kama ni makengeza basi nafikiri hata masikio yangu pia yana makengeza; Kwani na mimi nimeisikia ITV jana saa mbili usiku. Nilibaki mdomo wazi, kwa mtu kama Raisi wa Tanzania, anayeelewa nchi yake na watu wake walivyo, anaomba nchi za Ulaya kusaidia kupambana na Rushwa katika nchi za Kiafrika.

  TENA ALIKUWA ANACHEKA CHEKA WAKATI ANAONGEA KWA KUJUA KUWA ANACHONGEA SIYO ANACHOMAANISHA!!!!


  PTYUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!

  Kisha baadaye akawekwa BW. HOSEA WA TAKUKURU; ambaye alitudhihirishia kuwa KatikaSKENDO YA RADA HAKUNA MTANZANIA ALIYEHUSIKA, HIVYO NI UINGEREZA TU WALIHUSIKA KATIKA RSHWA YA RADA.

  Nikabaki mdomo wazi, Iweje mtu wa nje ahusike katika rushwa inayohusu nchi yetu.

  Je, huyo muingereza aliyehusika alikupewa Commission na nani??

  Je, iweje achukue Rushwa mtu wa nje ili kutuuzia sisi Rada??

  Je, kwanini bei iandikwe tofauti na bei halisia, kwani katika manunuzi lazima kulikuwa na Proforma Invoice, au Tender iliyotangazwa.

  Jana niliangalia ITV mwisho niliamua kunyanyuka na kutoka nje kwani nilishindwa kuizima kwani kulikuwa na wengine wanaangalia.


  KWA KWELI SERIKALI YA AWAMU YA NNE HAIJUI HATA INAFANYA NINI. Huenda waliomba madaraka lakini hawajui hata Job Description yao.

  TANZANIA TULIKOTOKA NI KUBAYA NA TUNAKOKWENDA NI KUBAYA ZAIDI!!!!!!!!!!!
  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hebu litolee ufafanuz,labda akuckia fresh
   
 19. M

  Mponjori JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 2,210
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huyu rais wenu nina wasiwasi naye!kama ktk chama chake huyu ndiye mtu wa juu kimadaraka,siwezi kumshangaa mbunge LUSINDE na Wasirra
   
 20. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Atakuwa wa kwanza kukamatwa
   
Loading...