Mbaraka Dau mbona unaanza mapema Kuhonga wapiga Kura Mafia?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
kuna tetesi kwamba Mbaraka dau ameanza mkakati mzito wa Kumngoa Bulj katika Jimbo la Uchaguzi Mafia.
Mbaraka dau ameanza kugawa misaada kila kona.
2005-2010 kijana huyu hakutoa hata Chandarua katika Wilaya ile kwa kuwa hakuwa na nia ya kuwania nafasi.
2010-2012 mamilion ya fedha ameaymwaga kwa kisingizio Cha misaada.
 
Nionavyo mimi hii post haina nia njema, ila kama mtu ana mafweza na anayawekeza kwenye miradi na miundombinu na inaonekana bora ya huyo kuliko wale wasioonekana hadi uchaguzi.
 
Mbaraka Dau Hana uwezo aw kuhonga wa Mafia kaka yake kupitia MIDEF Ndo huhonga na kusingizia misaada anatoa Mbaraka Watu wamafia tuko makini sana hatuwezi ongozwa na mtu asiejielewa Kisa eti kaka yake anatoa misaada.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom