Wakat tunaendelea kupokea matokeo,tusisahau ya Igunga!

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Tuendelee kupeana matokeo kadri yanavyopatikana kupitia vyanzo mbalimbali,lakini tusichekelee kabla matokeo yote hyajatangazwa,je tunaikumbuka ila sinema ya Igunga?icje ikawa kama sinema,starling anapgwaa lakin mwisho anapata nguvu na kumpga adui konde m0ja,na sinema inaisha,
ktk chaguz ndogo ccm wana'hila bhana.
Tusubir matokeo
 
Point mkuu na machafuko ya znz 2005 yalisababishwa na sinema hii ya kihindi
 
WATANZANIA WANATAKAABADILIKO. WASIPOYAONA, WASIPOYAPATA NDANI YA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM!


All the best CDM
Wakati ni huu​
 
Back
Top Bottom