Dr Edward Hoseah: Hakuna Mtanzania Aliyehusika na Ufisadi Katika Ununuzi wa Rada!

MANGUNGO

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
1,536
352
Nashangazwa na takukuru kuwa hakuna mtanzania aliye husika na ufisadi ktk ishu ya rada.chanzo ITV.wadau nawasilisha
 
Nashangazwa na takukuru kuwa hakuna mtanzania aliye husika na ufisadi ktk ishu ya rada.chanzo ITV.wadau nawasilisha


Takukuru ndiyo zao hata kesi zote walizowafunguliwa watuhumiwa wao wote wamechemka, ukianzia Iringa kwa Mwakalebela, sishangai kuendelea na uchemfu huo.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
mkuu daudi hosea ndo nani tena?....kwa tanzania kila kitu kinawezekana.!
 
hivi hosea ni mchezaji wa timu gani vile? Simba au Mtibwa? nikumbusheni tena
 
Katika mahojiano ayke na mwandishi wa itv mkurugenzi wa takukuru anasema wamezunguka kila eneo na hawajakuta marapopote panapohusisha mtanzania yeyote kuhusika na kunufaika na ufisadi huo wa rada.Akitoa hoja nyepesi katika kutetea hoja yake Hoseah anasema mtanzania angehusika basi nchi ya uingereza wangeng'ang'ania ili mtu huyo ashitakiwe na wao(takukuru) wasingeweza kukaa bila kumpeleka mhusika yoyote mahakamni. "KWELI TUMEMKABIDHI MBU KAZI YA KUTIBU MARALIA"
 
Sio kauli ya kushangaza kwani hosea huyo huyo aliwahi kusemakuwa hata katika kutoa zabuni kwa kampuni tata ya richmond hakukuwa na dalili ya rushwa (achilia mbali rushwa yenyewe)
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Huyu mzee amenishangaza sana kumbe naye bure kabisg rushwa imetolewa ila mtanzania hajahusika, haya mambo ya kuteteana yana mwisho!
 
katika mahojiano ayke na mwandishi wa itv mkurugenzi wa takukuru anasema wamezunguka kila eneo na hawajakuta marapopote panapohusisha mtanzania yeyote kuhusika na kunufaika na ufisadi huo wa rada.akitoa hoja nyepesi katika kutetea hoja yake hoseah anasema mtanzania angehusika basi nchi ya uingereza wangeng'ang'ania ili mtu huyo ashitakiwe na wao(takukuru). "kweli tumemkabidhi mbu kazi ya kutibu maralia"

nimependa hapo mwisho! Matokeo yake hapo ni balaa tupu!
 
Lusinde: Ona sera za CCM! Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee?

Magamba: Pigaaaaaaaaaaaa

Lusinde: Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??

Magamba: Kijaniiiiiiiiiiiiii.

Lusinde: Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????

Magamba: Kijaniiiiiiiiiiiiii.

Lusinde: Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????

Magamba: Kijaniiiiiiiiiiiiiiii

Lusinde: Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????

Magamba: Kijaniiiiiiiii.

Lusinde: Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi. CCM Oyeeeeeeeee.

Magamba: Oyeeeeeeeeee.
 
Nashangazwa na takukuru kuwa hakuna mtanzania aliye husika na ufisadi ktk ishu ya rada.chanzo ITV.wadau nawasilisha

Ndo huyu aliyepewa kazi ya kuchunguza kama zabuni ya richmond ina ufisadi akasema hajanusa chochote, jamani msilete habari za huyu mtu mnafupisha maisha yangu kwa hasira
 
Aliyenifurahisha zaidi ni Kikwete pale aliposema kuwa Tanzania inahitaji msaada wa vifaa/nyenzo na ujuzi ili waweze kupambana na rushwa! Nimebaki najiuliza, Kikwete na serikali yake wahitaji kifaa gani kuchunguza EPA? wanahitaji nyenzo gani kuchunguza Meremeta, Deep Green? Hapo Arumeru kwenyewe rushwa inatolewa nje nje, Kikwete anahitaji wafadhili toka Ulaya wamnunulie magunia ya kuwaweka wale wanaotoa rushwa?

Na kama kweli Tanzania inahitaji msaada, mbona Hosea ameweza kufanya uchunguzi wa kina na kugunduwa kuwa hakuna mtanzania(!!!) aliyehusika kwenye rushwa ya RADA! Alitumia kifaa/nyenzo gani huyu bwana Takukuru?

By the way, Hosea anakumbuka wikileaks yake kuhusu rushwa na armi za wakubwa?
 
Naomba nirudie kauli yangu ya muda mrefu "Tanzania ni moja kati ya nchi chache sana duniani ambapo makosa yanafanywa bila wakosaji". It doesnt suprise me at all.
 
Back
Top Bottom