Viongozi wetu na kujihami

mundo

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
200
9
Nimekaa nikafikiria sana jinsi ya tuko hili la viongozi kupigwa na watu waliojipanga kuwatoa roho, Je walikuwa hawana bodyguards? maana hali ambayo tumefikia ni kwamba hata tukikaribishana maji na vinywaji hatunywi sembuse kutembea usiku kama huo?

NIKAWA NAFIKIRIA JE ANGEKUWA WAZIRI MALIMA NA SILAHA ZAKE NINI KINGETOKEA PALE????????
 
Back
Top Bottom