Kuna tetesi kuwa Nape na wenzake Kama Kumi na moja wapo ktk baa Dar wakishangilia ushindi wa CDM. Kama kuna yoyote mwenye kutupa zaidi atujuze lakini Pongezi sana wana CDM
Wakiwa wanatoka katika Kata ya Ngarenanyiki wakielekea usa river wakitumia gari la mbunge wa musoma mjini V. Nyerere (Kiboko wa Mkapa) wanahabari watano wa dira ya Mtanzania,Tanzania Daima, Jambo...
Updates:
Mkutano umekwisha wakuu, kilichotokea ni historia katika Arumeru watu walikuwa ni wengi haijawahi kutokea na kitu kilikuwa kimeratibiwa vizuri.
Ni wazi ushindi ni kwa Nassari bila...
Nipo arumeru, ukuta wa wigo wa nyumbani pia ni wigo wa hoteli ambayo ni makao makuu ya ccm huku Arumeru Leganga USA, kusema kweli ni vilio humo hotelini,
Wizi wa kura, hivi jiulize kwenye vituo...
Niliahidi ikifika Jumatatu ya tarehe 2 April nitakukumbusha mataputapu uliyokua unatoa ukijitahidi kuaminisha uma kua sisiemu itashinda Arumeru Mashariki. Dogo nilikuambia hii sio Igunga, hapa...
Kwakusema ukweli CCM iko taabani maana sasa wananchi wanaelewa juu ya umasikini walionao!!na hasa akitazama mtoto wake anaenda shule ajala,anapekua,shati limechanika,kaptula imchanika inaviraka...
Nimekutana na hii post kwenye uzi mmoja humu JF: JF Exclusive: CHADEMA Yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa Jabulani: Leo nita Malima hadi asubuhi! Simba wa...
kutokana na matokeo yaliyotoka mpaka sasa hivi ni dhahiri kuwa ccm hawana chao, sasa swali linakuaj kuwa ccm wapo tayari kumtangaza nassari kuwa kashinda? Lowasa anajulikana na kwa kutoa toa...
Matokeo haya sasa ni rasmi (final results) kama yalivyotangazwa na msimamizi wa uchaguzi kata ya vijibweni;
1.Mathew Suleiman Luwongo(ccm) - 1198
2.Isaya Mwita Charles(Chadema) - 779
3.Ali...
hivi wana jf c mnajua kiherehere cha ccm kutangaza matokeo humu jf kama ilivyokuwa igunga leo wako wapii akina nape na matokeo yao wale magamba ambao hawaamini kilichotokea ambao wamo humu jf gepu...
Wakuu nimetoka USA, hali ilivyo ni kuwa vijana wapo eneo la USA karibu kabisa na kituo cha polisi wakishangilia matokeo ya awali. Kiukweli vijana hao ni wengi na bado wanatiririka toka pande mbali...
Baada ya kushambuliwa na Kundi la watu wasiojulikana jana usiku, Mheshimiwa NYNESS KIWIA amehamishwa kutoka BUGANDO na kupelekwa MUHIMBILI kwa matibabu zaidi.
Mheshimiwa alivamiwa na watu...
Baada ya kufuatilia kwa siku nzima kutokana na ripota mbalimbali walio mstari wa mbele napenda kutoa pongezi na shukurani zangu za dhati kwa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na makamanda wote wa...
mabomu ya machozi yanarindima.
Magari ya polisi yanarusha maji washa wananchi wanalala chini lakini hawaondoki.polisi wanaelekeza mabomu kwa wananchi.
Wasimamizi/mawakala wa chadema wapigwa...
Wakuu,jinsi Siyoi Sumari alivyopita toka mwanzo kimizengwe, kushindwa vibaya kwa CCM huko Arumeru nini uelekeo wa makundi ya Urais,EL na Chama chenyewe? Pongezi kwa Chadema
Ningependa kutumia haki yangu ya kikatiba kuwashauri wana arumeru wachague mgombea sahihi,hatutaki jimbo lenu liwe korea,eti baba afariki na mtoto arithi?
Tulianza na mungu,tutamaliza na mungu...
Nimepata habari kutoka kwa mwanahabari wa kuaminika kuwa chanzo chake cha habari katika idara za usalama kinasema kuwa CCM watatangazwa kuwa ni washindi wa kiti cha ubunge Arumeru kwa asilimia 56...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.