Wizi wa kura, masanduku 50 yakamatwa Arumeru.

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Hii habari imenifikia kwa njia ya simu namba 0714350462 kutoka kwa mdau wangu wa karibu toka Arumeru mashariki. Yalikamatwa na vijana hodari wa CDM kwenye gari lililokuwa limebeba ndizi. Baada ya kulishuku na kulisimamisha ndipo waliokuwemo kwenye gari wakatimua mbiyo kuelekea vichakani. Mpaka sasa gari lipo kituo cha polisi. habari zaidi na picha zitakujia punde! Kaa mkao wa kupata habari!














Happy April 01 day
 
Ng*anakidiku be serious, we know its fools day, tunaomba ufafanuzi pia photo o|w unajifool yourself
 
Uchaguzi wa Arumeru kuangukia cku ya wajinga isiwe nongwa! tunahitaji updates za kweli!
 
Jamani hivi kuna mwanaJF mjinga kweli? Tuache utani leo inafahamika ni siku ya wajinga duniani lakini isiwe kero maana tuna matukio ya kitaifa ambayo hayaihitaji mzaha.
 
Mzaha tuache kando, hasa hapa jamvini siku ya wajinga tuwaachie walio nje ya huu mtandao vinginevyo mambo yote ya maana na yenye tija kwa jamii kwa leo hatutayapata.
 
Mzaha tuache kando, hasa hapa jamvini siku ya wajinga tuwaachie walio nje ya huu mtandao vinginevyo mambo yote ya maana na yenye tija kwa jamii kwa leo hatutayapata.
Sijakusikia vizuri? Mpaka saaa ngapi? saaa tano?
 
Jaman hz habar ni za kwel binafs nimetumiwa ujumbe wenye taarfa kama hz nilvokuwa ibadan asubuh.si mambo ya cku ya wajinga.
 
Mkuu Ng'wanakidiku kwanini leo umeamua kuwa shoga? Siku ya wajinga isikufanye uwe shoga.
 
Ngwanakidiku unatuharibia ladha ya jamii forum,hamia kule kwa shigongo ndo panakufaa kwa siku ya leo.
 
Back
Top Bottom