Hii ni aibu ya mwaka..

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Watu wazima na vitambi vyao kuwekwa chini ya ulinzi kwa "uchakachuzi" wa kutaka kuingiza kura "feki" kwenye kituo Meru East.
Aibu, aibu yao na mkuu wa kaya milele. Huu ndio ukombozi wa kweli! CDM, peoples power..
.
Source: ITV/RADIO ONE.
 
Nilijua kua Chadema itashinda..i know Arumeru..Tengeru kuna vijana wengi ..ITV nawapenda sana..am flattered kwakweli..
 
Nasema sasa ni wakati wa morani kunyoosha vidole v2 juu!

hawa rangi ya majan ya kunde wasubir kuchekwa!
 
Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, zilizoharibika 0.

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93,

Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

Enguseni a CHADEMA 114 CCM 62

Leganga CHADEMA 142 CCM 26

Magadirisho1 - CHADEMA 116 CCM 37

Magadirisho2 - CHADEMA 111 ccm 37

s/m leganga - CHADEMA 142 CCM 26

Majiachai A,B,C,D,E CHADEMA 573, CCM 276

Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,

Ofisi ya Kata Makiba CCM 107, CHADEMA 127,

Shule ya Msingi Miembeni namba 01, CCM 103, CHADEMA 96

Kikatiti CHADEMA 104 CCM 62

Tengeru chuoni CHADEMA 114, CCM 24

Tengeru hospt CHADEMA 220, CCM 40

Kikuleto ofisini CHADEMA 104, CCM 84

Makumira A = CHADEMA 118, CCM 42

Makumira B - CHADEMA 100, CCM 42

Makumira C - CHADEMA 92, CCM 50
 
Habari ni mulua sema mletaji ameripoti kama anajiambia mwenyewe. Habari mara nyingi ni juu ya who, where, when, What, why and how. Kwa wana taaluma ya habari wanajua five wives and one husband. Habari hii imekosa kila kitu zaidi ya kuwa kama fumbo la kawaida au nung'uniko au soliloquay kwa kimombo.
 
makumira total ya vituo CDM 520 CCM 227 fo both vituo aliepost hakukamilisha vituo
 
Back
Top Bottom