Kimenuka Vijibweni, Viongozi wa Chadema washikiliwa polisi Kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimenuka Vijibweni, Viongozi wa Chadema washikiliwa polisi Kigamboni

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwita Maranya, Apr 1, 2012.

 1. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Viongozi watatu wa Chadema, mwenyekiti wa baraza la wanawake kigamboni, mwenyekiti wa vijana segerea na kiongozi mmoja wa vijana toka temeke wamekamatwa na polisi na wanashikiliwa katika kituo cha kigamboni.
  Kukamatwa kwao kumefuatia vurugu zilizozushwa na watu wa ccm katika kituo cha vijibweni pamoja na viongozi wa cuf kituo cha ofisi ya mtendaji.
  Kufuatia sintofahamu hiyo iliyosababishwa na kupigwa kwa wakala wa chadema na mabaunza wa cufpamoja na viongozi wa ccm kutaka kuwanusuru wapiga kura wao wenye kadi feki ndipo watu walifikia hatua ya kutandikana makonde.
  Baada ya kuona wamezidiwa nguvu ndipo ccm na cuf wakawahi polisi na kupelekea viongozi hao wa chadema kukamatwa na polisi.
  Hadi muda huu polisi wameanza sakasaka ya viongozi wetu lakini bado makamanda ni wengi sana toka wilaya zote za dsm kuhakikisha hakuna kuibiwa wala uchakachuaji.
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kazi kwelikweli
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Basi hapo tulishalizwa mkuu!! Kosa moja kama hilo ni bao!!
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Endelea kutujuza mkuu. Polisimagamba wapo kimagamba zaidi.
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Sasahivi Mh. Mnyika pamoja na mkuu wa kampeni kamanda Kileo wako kituo cha polisi wakifuatilia kukamatwa kwa viongozi hao na kufuatilia hatua zinazofuatia ikiwa ni pamoja na kuwawekea dhamana.
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Demokrasia ya kweli haitapatikana tz mpaka ccm itoweke duniani!
   
 7. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hizi chaguzi za leo si salama hata kidogo mungu tusaidie tz hii. Demokrasia inabakwa live ila tutashinda tu.
   
 8. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli muda si mrefu ccm na polis wasipoangalia tanzania hatutakuwa tofauti na burundi au rwanda bila kuhakikisha haki inatendeka!
   
 9. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hongera chadema
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Police ni wezi wasaidizi wa CCM,hapo wanaisaidia CCM kuiba kura.
   
 11. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,467
  Trophy Points: 280
  police = ccm. Mungu yupo nasi CDM.
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hatimaye makamanda wote wameachiwa na wako huru kuendelea na shughuli za uchaguzi kama kawaida.
   
 13. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Tulianza na Mungu,na tutamaliza na Mungu!
   
 14. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  mkuu mwita mie nimepigia kituo cha kisiwani p| school hakukuwa na vurugu pale, ila nimewaona ffu wengi sana natmai serikali ime investsana ktk awa askari ili ipate support maana wameshtukia kuzidiwa nguvu na chama dume chama cha cdm, lakini lets op tutashinda maana tuna support ya kweli
   
 15. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka kama kusikia kuwa CUF hawakushiriki katika uchaguzi wa Arumeru. Ikiwa ni hivyo, viongozi wa CUF wamekwenda kufanya nini huko, au kuwasaidia (waume zao) CCM?
   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mwita
  Wape pole makamanda wote.Tuko pamoja tukisubiria mkesha mkuu wa ushindi!
   
 17. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  :):):)
   
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna chaguzi nyingi leo. Huo ni wa diwani kule vijibweni siyo Arumeru
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nani kashinda vijibweni?
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  vijibweni kambi ya ccm a na ccm b. . . .
   
Loading...