Lizaboni hiyooo CDM

amini usiamini, CDM tumeshinda Lizaboni!
mimi nipo hapa hapa Lizaboni,
Magamba tulieni!
 
Leta data kwanza kabla ya kuweka maneno, tumeshinda kwa kura ngapi??
 
Tunahitaji kutulia na kujiuliza, nini kimetokea mpaka serikali inashindana na wananchi. Matumizi ya jeshi la Police yameongezeka sana hasa kwenye chaguzi. Tukifikia 2015 tutafanya kweli mambo ya maendeleo? Nini kifanyike kubadili
mtazamo huu?
 
Lizabon naifahamu CCM hawawezi kushinda bse ata ubunge songea mjini CCM waliforce king.
Lizabon lazima CDM washinde kama kutakuwa na fairplay
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom