Hali ya usalama ni tete jijini Mwanza

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Polisi ni wengi kuzidi hata idadi ya wapiga kura na wametanda kila mahala.Hali hii imeathiri hata muitikio wa wapiga kura.Mpaka sasa watu ni wachache sana kwenye vituo vya kupigia kura.Haijulikani kuna nini nyuma ya pazia juu ya uwepo wa askari wengi kiasi hiki.

Tutaendelea kuhabarishana zaidi.
 
Hao ni POLICCM, msiwaogope.
 
haujui kama mbunge wenu kapigwa mapanga?. watu wameogopa kukatwakatwa mapanga kwani wameshatishiwa na ccm na tayari wabunge wao wawili wamepigwa mapanga. je hapo unategemea mtu aje kupiga kura?
 
Kila nikifikiria Polisi wetu hua namkumbuka sana Rafiki yangu Kamanda Samson Mwigamba na ule Waraka wake.
Nina wasiwasi kama hata hua wanausomaga,

"Kimbilio la Waliofeli ni Ualimu Na Upolisi na Ualimu"
 
Wanamwanza kata ya kirumba chomeni moto hayo magamba!Hayana faida si mnaona yanavyowanunua vijana kujeruhi na kuua watu.We need m4c.
 
nyie simlikuwa mnajaza watu kwenye mikutano? vipi tena unasema kuwa watu hawakujitokeza hao ni wafuasi wa chadema, vijana wengi huwa wanashindwa kutunza shahada ya kupigia kura, wanajaa kwenye mikutano hawana shahada.
 
Back
Top Bottom