Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Jackbauer, Apr 1, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wakuu nimeona ni vema kuwa na thread moja itakayotumika kuleta updates za uchaguzi huko arumeru east.

  Uchaguzi huu wa mbunge wa arumeru east unahusisha jumla ya kata 17 na vituo 327 vya kupigia kura.
  Jumla ya wapiga kura 127456 wanatarajiwa kupiga kura.
  Majina ya kata ni kama ifuatavyo;

  KINGORI
  LEGURUKI
  NGARENANYUKI
  MARORONI
  KIKATITI
  MAKIBA
  MBUGUNI
  KIKWE
  MAJI YA CHAI
  USA RIVER
  NKUARANGA
  SONGORO
  POLI
  SINGISI
  NKOARISAMBO
  AKHERI
  NKOARUA

  mkurugenzi wa uchaguzi ndg Trasias Kagenzi amewahakikishia wananchi usalama upo wa kutosha.vituo vitafungwa mida ya saa kumi jioni.na anatarajia mpaka kufikia saa saba usiku masanduku yote ya kura kutoka kata zote yatawasilishwa ofisi za halmashauri.

  Ametoa namba ya sms kwa wale wanaotaka kujua vituo vyao vya kupigia kura-15540

  DOSARI
  mgombea wa cdm alimpigia simu kulalamika juu ya mawakala wa cdm kuzuiliwa nje ya vituo vya kura kwa kukosa
  fomu za kiapo,hata hivyo amewaelekeza wasimamizi wote kuwa kitambulisho cha wakala kinatosha

  mwenyekiti wa ccm kijiji cha akeri anapotoka Siyoi akamatwa akiwaelekeza watu kumpigia kura Siyoi.amesema maelekezo haya amepewa na chama chake.

  Mwigulu mchemba akamatwa na polisi baada ya kuhusishwa na kampeni/rushwa kanisani.

  TENDWA:jukumu la mpiga kura ni kupiga kura na sio kulinda kura.

  UPDATES.....
  JOSHUA NASARI ;mgombea wa chadema ameshapiga kura.yapata dk 45 zilizopita.

  Watu wameanza kujitokeza kwa wingi kulinganisha na asubuhi wakitokea makanisani.

  Vijana wametikia wito wa kulinda kura.maeneo ya patandi,usa,makumira,maji ya chai...kuna makundi makubwa ya watu wakiwa kwenye hali ya utulivu.

  Kuna taarifa kuwa kuna wafuasi wanaosadikiwa kuwa wa ccm wamezingira maeneo ya hospitali ya wilaya.haijajulikana kumetokea nini.

  Matokeo yanaendelea kubandikwa kwenye vituo mbalimbali; fuatilia thread hii > [h=2]MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki[/h]
   
 2. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tupeni updates kwa yanayojiri mlioko katika uwanja wa mapambano
   
 3. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ingekuwa vzr kila kata tukapata matokeo yake hapa JF!
   
 4. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  @Jackbour hetu kwa kata zote kumi na saba ni kata gani ambayo kwa tadhini ndogo cdm wanaweza kuibuka kidedea
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ccm wanaweza kujivunia kata mbili tu kwa sasa ambazo ni nkuarisambu na maroroni
  ingawa kata hizi zina watu wachache sana.
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ni kweli mkuu!
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watu wa ngapi wamejiandikisha kupiga kura huko Arumeru.
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ni vyema kila kata kukawa na timu inayoratibu matokeo kwa karibu na kutoa taarifa mapema!! Vipi utaratibu wa kuhesabu unafanyika hapo hapo kituoni au mpaka mabox yapelekwe kwa mkurungezi wa kupiga kura. All the best East Arumeru, mkirudia kufanya kile kile mkitegemea kitu tofauti basi majuto ni mjukuu.
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Jumla ni watu 12700 hii ni kadirio la karibu kabisa, yale mamia, makumi na mamoja siyakumbuki mkuu!!
   
 10. H

  Haika JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Idadi ni ile ya 2010au kuna mabadiliko?
   
 11. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Haya wakuu mliopo hilo tupeni taarifa zaidi hali ya watu kujitokeza ipo vp,hali ya utulivu kwa kila kituo
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbona nasikia kuanzia Kikatii, USA mpaka Tengeru nako hali si mbaya sana.
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakun mabadiliko zaidi ya watu 50 waliongezwa ambao nao DCM wanataarifa zao.
   
 14. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Vipi kuhusu watu kutoona majina yao kwenye orodha au safari hii hili halipo?
   
 15. M

  Molemo JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu umekosea ni 127000
   
 16. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Pia mtujuze na matukio yanayaoendelea huko kama vile muamko wa wananchi kulinda kura zao zisiibiwe kwani mbele ya ccm ya Kikwete wako radhi kumwaga damu ili mradi wapate ushindi kwa kauli mbiu ya Ushindi Lazima
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watu 80,000 ni mtaji wa CCM 47,000 watagawana CDM na vyama vingine.
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  barabara ya moshi arusha hakuna mfuasi wa ccm ndugu yangu!
   
 19. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Gongo za week end ndiyo zinafanya kazi bado ziko kichwani.
   
 20. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hizi ni ngome za CDM
  1.kikatiti
  2.Usa river
  3.maji ya chai
  4.leguruki
  5.Maroroni
  6. MBuguni
  7.Sing'isi/seela
  8.Songoro
  9. Ngarenanyuki
  10. King'ori
  11. Poli
  Haya mengine 50%
  1. Akheri
  2.kikwe
  3. Makiba
  4.nkoanrua
  5. Nkoarisambu
  6.Nkoaranga
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...